siku ya graduesheni ya mzee wetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. At Last hahahaha!

    ReplyDelete
  2. Mzee wa kiraracha, amepania kuwa rais wa kwanza wa tz kuwa na PHD. Kwa sasa anajifua kuitafuta Msc, kabla ya uchaguzi 2010 lazima awe na kivumishi cha jina kinachooanza na Dr.

    ReplyDelete
  3. Huyu bwana sidhani kama ana ngekewa ya urais. Apumzike tu, umri utamuangusha kama kweli nia ni kugombea uraisi.
    Awaulize watu kama Senator John Mc Cain au Al Gore.Wamesahau ndoto za uraisi.
    Lakini niulize kapata degree ya wapi na ni chuo gani?Usijekuta kanunua tu.

    ReplyDelete
  4. wewe upo dunia ya wapi ujui ya kwamba US Senator John McCain sasa hivi anapiga kampeni za chini chini kabla ya uchaguzi haujafika.ni kiongozi ambaye wanaita favour kuwa mgombea wa urais kupitia chama cha republican.fuatilia hili.

    ReplyDelete
  5. Seneta makene au mc cain bado ana bid this time Inno. Na jitihada zake zipo katika immigration Bill kama unafatilia siasa za hapa Marekani. Bill hii inaweza kumnyayua maana Keneddy Teddy hana nafasi labda kubid tena kwa John Kerry au Clinton mke ambapo kuna mchezo mgumu sana ndani ya Democrats

    ReplyDelete
  6. Kaisomea online.

    ReplyDelete
  7. Nasikia siku hiyo ilikuwa balaa, manake alizungushwa na gari la wazi mji mzima huku akipungia mkono wananchi.

    ReplyDelete
  8. Kama lyatonga ana digrii ya ukweli basi mi nairudisha yangu siitaki tena

    ReplyDelete
  9. Info za shule aliyosoma Lyatonga

    http://en.wikipedia.org/wiki/Pacific_Western_University

    ReplyDelete
  10. acheni zalau nyie na videgree vyenu viwili vitatu vya kukremu.watu wenye elimu zao wanakaa kimya na kuendelea kusoma kwa zaidi.

    ReplyDelete
  11. we soma kuhusu hiyo shule yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...