sina uhakika na aina ya gari hii. jamani, ingawa sina hata baiskeli, lakini huwa macho kuangalia aina ya magari yapambayo barabara zetu huku bongo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mbona bovu

    ReplyDelete
  2. Wacha urongo Michuzi. Tunajua angalau ki-Hiace unacho (ulituwekea picha humu wakati fulani). Tunajua pia unapenda kujifanya myenyekevu hadi kudiriki kutuongopea eti unaishi Uswahilini Kariakoo na kutubandikia picha ya nyumba ya kupanga ya Uswahilini.

    ReplyDelete
  3. lincoln contintental

    ReplyDelete
  4. Wabongo bwana sasa hilo gari kalitoa marekani kwenye junk yard leo watu wanapanda harusi. Hivi litafika huko wanapoenda sasa?

    ReplyDelete
  5. Hilo gari ni classic. Hayatengenezwi tena kwa hiyo vigumu kuyapata

    ReplyDelete
  6. Wacha kujifagilia wewe MICHUZI. juzi juzi umetuwekea PiCHA ya gali lako lenye mastika kibao, na ukatuelezea stika zoote maana yake. Usitake kutuzingua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...