jk akiwa na waheshimwa wengine

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Mfundisheni rais kuangalia kamera.Mzee Sita na Karume wametokea vizuri huku JK na Dk. Shein wametokea kama wanaogopa eye contact.
    aliyetokea vizuri kuliko wote as far as facial expression is concerned ni huyu jamaa juu ya Spika Sita.Mama shughuli anaogopa kamera,Profesa Mwandosya ana face kamera vizuri lakini kauchuna kama headmaster mnoko.

    ReplyDelete
  2. Haya huyu Amina kwenda kujipachika katikati ya hiyo mibaba ndio nini????

    ReplyDelete
  3. jamani ni picha ya ya wabunge kwani yeye sio mbunge? hakuna kosa hapo.

    ReplyDelete
  4. Kwa ufupi mambo kama haya (shughuri hizi) huwa kuna wapiga picha wengi sasa ni vigumu kwa Viongozi kuziangalia zote. Nakumbuka wakati nipo nyumbani nilikuwa nipo karibu sana na Ikulu ktk mambo yangu ya kikazi sasa nilikuwa naona wapiga picha wengi sana wakiwemo hadi bwana Michuzi. Mtapata jibu kwanini JK hakuangalia hii kamera.

    Anonymous.

    ReplyDelete
  5. Hivi kumbe Papa Wemba Shungu aka Mzee Fula Ngenge ndio spika wa Bunge la Muungano! Sikuwa na habari Ati!

    ReplyDelete
  6. Yaani Amina kuwa mbunge mimi moyo unaniuma!

    ReplyDelete
  7. jamani huoni kama ni mfupi akikaa nyuma nini maana ya hiyo picha kwake sasa?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2006

    AMINA,WAKATI WA KUPETA NI PALE UNAPOSHIKA UNGO NA KUNA KITU NDANI YAKE!WE CHAPA KAZI,KULA UTAMU.ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA,KAMA MAISHA YANAFUNGUKA YENYEWE NAWE UNASEMA HADI UWE NA FUNGUO,USIDHANI WAKATI UNAKUNGOJA,UMRI WAJO UNARUHUSU KWA KILA JAMBO.HONGERA!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2006

    mnamuona huyo jamaa nyuma ya jk na kulia ya amina,huyo jamaa anaitwa richard ndassa,ni mbunge wa sumve mwanza huko, hamuwezi kuamini huyo jamaa ni darasa la saba....
    mi namfahamu A-Z wala sio uzushi....kama anapinga hilo anitafute nimsute kwa vielelezo.EPM.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2006

    HABARI YA DARASA LA NGAPI KAWAAMBIE WAPIGA KURA WAKE WEWE NDIO UNAJUA ZAIDI YAO?WACHAGULIE WA KWAKO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...