Home
Unlabelled
karume na mabalozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namuona Marehemu Idris Wakil, mzee Jumbe na salim Rashid.
ReplyDeleteHuyu wa kwanza mstari walioketi nadhani ni wa kwanza kushoto niKassanga Tumbo, wa pili Alhaj Abdu Jumbe, wa mwisho Marehemu Hassan Diria. Waliosimama watano toka kushoto ni Balozi Salim Ahmed Salim, na wa kumi na mbili ni Hayati Mzee Idris Abdulwakil. Halafu kati ya waliokaa wa tatu toka kulia kama namfahamu. Michuzi naomba jina lake kupitia barua pepe.
ReplyDeleteNi miye rafiki yako,
F MtiMkubwa Tungaraza.
PS/Jumamosi 22.04 minara ya saa nne usiku nilikupigia simu lakini hukujibu. Tutafutane!