hii ndo sugar ray fc chini ya mfadhili issa batenga (shoto, wa pili juu) kocha andrew molloto (shoto, juu) na meneja alister (kulia juu). hapo ni uwanja wao wa hom tpdc mikocheni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. safi sana hapa babu kubwa tunaona mambo mbali mbali sio wanawake walio nusu uchi utafikiri tovuti ya xxx

    ReplyDelete
  2. Sugar Ray ndio wamiliki wa ile baa kwa Sokota Temeke?

    ReplyDelete
  3. Wewe anony acha uzushi, nyie ndio mnaojifanya hamtaki picha za wanawake lakini usiku pale Buguruni Sokoni ndio zenu kwa wadada poa

    ReplyDelete
  4. we ulijuaje kama buguruni kuna malaya uliendaga nini? tuambie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...