nimekula pozi na omar kimbau, mmoja wa vijana wanaokuja juu kisiasa bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. bwana michuzi tunaomba picha ya yale magari ya ikulu ya zamani yaliokabidhiwa jumba la makumbusho.(rolls royce)nk.
    thenki you vere machi.

    ReplyDelete
  2. konsida iti dani. suuun ntaweka

    ReplyDelete
  3. hii ndio bongolond, ni nchi ya kiurithi kimtindo wake.(monarchi kama UK)
    kuanzia Rais wa zanzibar, mtoto wa Rais mwinyi(hassan), wako wengi hao warithi wa viti hivyo vitamu vya babazao
    na wengine wengi huko babazenu walio na vyeo tumie nafasi zenu vizuri, muwai kurithi.
    kipepeo

    ReplyDelete
  4. Kweli kabisa anony, kama Baba yako alikuwa mwanasiasa wa Bongo, Chances za wanawe kututawala baadae ni kubwa sana. Huyu jamaa nilisoma nae minaki sec. alikuwa kilaza wakutupwa, lakini kwa sababu siasa za bongo zinafanywa na vilaza pamoja na watoto wa wakubwa usishangae akatengenezewa wizara

    ReplyDelete
  5. Michuzi naona una Canon-EOS Digital camera!, Lets talk! Nafanyakazi kama computer Networking teknisheni guy na kampuni inoyo-deal na vitu hivyo hapa States.
    PS: Bado nina picha ulizonipiga enzi za YMCA, na Kibasila Sekondari way back in 1980's

    ReplyDelete
  6. Lakini je na sisi tusiokuwa watoto wa wanasiasa tumejaribu kuingia katika siasa tukatolewa?, mimi naona kuingia katika siasa ni uamuzi wa mtu si kwa sababu mzazi wake alikuwa. Maria na Madaraka Nyerere hapo chini wamerithishwa uongozi gani?

    ReplyDelete
  7. Nguvu yako tu, kwani Kikwete alikuwa mtoto wa nani? Dunia humpisha mwenye dira.

    ReplyDelete
  8. kimbau original alikuwa nani tena??

    ReplyDelete
  9. Kimbau alikuwa askari ktk JWTZ wa cheo cha Kanali, hadi miaka ya 1980's. Alikuwa Mbunge wa Mafya kwa kipindi kirefu sana.

    ReplyDelete
  10. anony wa 12:59 PM nashukuru kwa kukumbuka enzi hizo. email yangu ni issamichuzi@gmail.com, tuwasiliane. kuna mengi ya kuongea na kufanya

    ReplyDelete
  11. Michuzi, Jamaa ana cheo gani?

    ReplyDelete
  12. Michuzi tuletee picha ya Kinje Pia.

    ReplyDelete
  13. Huyu yankee, mie namjua kimkundu-mkundu, toka enzi za Clouds wanapiga pale Agip Hotel, kwanza hana akili, pili pompous, tatu arrogant na ni mtu wa kujipendekeza kwa watoto wa wakumbwa. sasa inakuwaje awe kiongozi fulani wa bongo???

    ReplyDelete
  14. huyu jamaa anayelalamika kuwa bw.kimbau alikuwa ni kilaza minaki namuomba ajue kuwa 1.people change 2.Hesabu za minaki na ujuzi wa maisha sio lazima vitatuiwe kwa njia moja. kwa nini vijana tusimuombee kijana mwenzetu heri katika carrier yake ya siasa.swala la kurithi si la ajabu,watoto wa mapolisi wengi huwa mapolisi,watoto wa madaktari pia huwa madaktari and so do watoto wa wanasiasa.ni jambo la kawaida kuvutiwa na shughuli wanazofanya wazazi wako na ukajaribu ku emulate.,,,,kimbau kila la kheri......zemarcopolo!

    ReplyDelete
  15. huyu si yule jamaa aliekuwa anavizia visichana pale kisutu sekondari enzi hizooo kwenye miaka ya tisini...

    ReplyDelete
  16. Naye yuko kwenye wale wanaosadikia anatembea na majambazi. Duuuh !!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 01, 2006

    Like Father like Son Hii kitu iko kote tuu duniani mfano The Bush Family-US.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 03, 2006

    Fitina zikiisha wabongo watakuwa mbali sana sasa kama ni mfuatiaji wa vitoto si ndo maana yake Rijali sasa tatizo liko wapi kama ni siasa iko kwenye damu yao baba yake alikuwa Mbunge wa Mafia kwa Miaka 30 na huyu bwana ndo kwanza ana miaka 33 sasa ndo maisha aliyokulia kama baba yake angebakia Jeshini basi angekuwa Lt kwenye Jeshi twendeni na wakati haya sasa

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 27, 2006

    labda kuna masuala ambayo watu wanashindwa kuelewa au wanasahau. kuna kula na kulala . kama si waliotutangulia kutuelekeza jinsi ya kulala basi leo ingekuwa balaa maana kila mtu angekuwa na style yake.wapo wengine tungelala kichwa chini miguu juu, wengine wangelalal wakiwa wamekaa na hata wengine wangekuwa wanalala wakiwa wamesimama. hii inakwenda sambamba na suala la kujisaidia na hata vitendo vyengine ambavyo binadamua ujifunza pia.

    suala la siasa kwa upande wa bwana kimbau ni gumu kidogo kulieleza lakini kwa mtazamo wangu nataka nijaribu kuliangalia kwa namna hii. tuangalie bwana kimbau snr ametokea wapi. mzee kimbau yeye alikuwa mwanajeshi hadi alipoamua kuingia kwenye sisa. ni mazingira aliyokuwa nayo ambayo yalimshawishi kuingia huko. inawezekana pia ikawa mazingira neno pana sana , lakini kuwa mfinyu niseme labda mahitaji ya watu wake na pia dhumuni kubwa alilokuwa nalo kuwasaidia watu wake.kwa kesi ya mtoto wake inawezekana ikawa ni sababu hizohizo au inawezekana ikawa ni sababu nyingine lakini kwa sisi ambao mababu zetu waliwahi kuwa wanasisa ni hali ya kama wito ambayo hipo au ni ile hali ambayo tumeishi katima siasa na imefikia muda kuona kwamba ninaweza kufanya siasa na nikafanikiwa kufika hapo.

    swali, kwani mh.jakaya kikwete , baba yake alikuwa raisi wa tanzania au muangalie mh. william mkapa, kuna hata mwanaye anayeonekana mwanasiasa. lakini yawezekana siku moja akatoka mtu ambaye hata amumfikirii leo hii akawa raisi wa nchi. yote ni dhamira na mipangilio tu. akhsanteni.

    nakaribisha mawazo katika kukosolewa. siamini kama mimi ninaweza kuwa nafikiria zaidi yako.

    ReplyDelete
  20. Michuzi kula beneti na huyo jamaa, anaweza akafika mbali akakukumbuka hata kwa u DC

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...