madenti wa udsm wakiwa mkutanoni nkrumah leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Na kweli Nyerere alisema akifa watu watamkumbuka!

    ReplyDelete
  2. Lakini kwanini serikali isiwape tu hawa ndugu zangu pesa yao yote ya mwaka kwa mara moja!? Kwasababu, kila inapofika muda wa kupewa hizo pesa hazitoki hadi kwa migomo na vikao!! Tutafika kweli?? Revd MP

    ReplyDelete
  3. Waaaambie waambie waaambie hao, wamezoea sasa kujenga mahekalu tu.

    ReplyDelete
  4. Nyuma ya migomo kuna mambo mengi!
    Serikali ama baadhi ya vibaraka chuo wanajaribu kupotosha madai ya msingi ya wanachuo. Hoja ya wanafunzi waliokuwa private kuondolewa posho kwa ajili ya mafunzo ya vitendo ni ubakaji wa haki yao lakini vile vile ni ukiukwaji wa sehemu ya mkataba ambao wanafunzi wameingia na serikali kupitia Bodi ya Mikopo...Cha kusikitisha ni kwamba badala ya kutafuta suluhu, serikali itatumia ubabe na kukifunga chuo Jummanne 2 Mei majira ya saa nane

    ReplyDelete
  5. Naibu Waziri alishasema kuwa "Mikopo sio haki yao bali ni msaada tu wa Serikali, hivyo kwa kugoma wanazidi kuichefua serikali"

    ReplyDelete
  6. Mmhh! Kweli shida kusoma bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...