Home
Unlabelled
magazeti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dalili nzuri..theoretically magazeti kibao means
ReplyDeletemawazo kibao,which means solutions kibao au choices kibao.cheers!...........zemarcopolo!
magazeti mengi ya bongo yanaandika habari zisizofanyiwa utafiti...mtu anakaa tu chumbani kwake na mke wake na kuchapisha gazeti la kuuza kesho...usenge tu....emergencypoison
ReplyDeleteemergencypoison nina swali kidogo...unasema magazeti "mengi" ya bongo yanaandikwa bila utafiti.je unaweza kutupa the exact value of mengi?iwapo utashindwa tutakulaumu kuwa wewe ndio umeandika comment ambazo hajazifanyia utafiti.iwapo utakuwa na hiyo value nitakushukuru kwa kutupa taarifa mbayo mimi na pengine na wengine tulikuwa hatujui.cheers.........zemarcopolo!
ReplyDeleteninaposema mengi namaanisha most of them in english....ukienda bongo utakuta vichwa vya habari ni vilevile kila siku, atoswa,aliwa uroda,jibaba labaka,buzi lachunwa n.k. halafu anakwambia kaandika mwandishi wetu...utapoteza pesa kununua habari ambazo ni vapour....
ReplyDeletetak care,emergencypoison.