hina imekolea...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Tupatie picha nzuma bwana michuzi

    ReplyDelete
  2. sasa hapa bwana shemeji umefika mbali hivi hao wakubwa unao piga picha zao wanaona hii brogi yako? na wanasemaje? hapa una amasisha nini cha zaidi? au ngono na kuendelea kwa ukimwi? tutapoteza watu paka lini? ni uhakika wetu bwana shemeji utalifiria hili.toa mambo yatakayo elimisha jamii ya mtanzania.

    ReplyDelete
  3. Yaani wewe anon na akili yako unadhani hii picha ndio itaongeza kasi ya kuenea kwa Ukimwi?? Unadhani hata kama picha kama hizi hazipo mitandaoni unadhani watu hawatifuani kwa kwenda mbele?? Wewe amka acha kufikiria kama uko zama za mawe. Kila kitu kinaelimisa jamii wewe kama hauelemiki anza zako usituletee za kuleta hapa.

    ReplyDelete
  4. Hii miguu naijua, nilishawahi kuishika. Shemeji kama unabisha sema nikutajie

    ReplyDelete
  5. Wewe anon 2, Michuzi si mjinga, huww anaelimisha jamii kila siku, sasa si lazima achombezee na vionjo kama hivi otherwise tutaboreka, acha ushamba wewe ukimwi hupatikana kwa kujaamiana, haya hii miguu nayo inaambukiza siku hizi??

    ReplyDelete
  6. swali anahamasisha nini? nini kusema mambo ya pwani? tukiendelea kukataa ukweli tutabaki kupoteza nguvu kazi.nini maana ya kuchombeza? anachombeza nini? je ndugu jamaa,marafiki au watoto wakiona hii watasema baba anamaanisha nini? uwazi ni kwamba sisi waafrika tunapenda sana starehe na ngono na kama mtindo ni huu nakwambia kweli tutaendelea kuwa masikini wa kifedha, mawazo mpaka imani.acheni kutetea vitu ambavyo havielimishi jamii ya mtanzania aliye masikini.Mnabaki kusema maisha yanabana wakati watu ktk mawazo tu hayajengi taifa la Tanzania badala ya kutoa vitu vya kuamasisha watu waendele kupigania maisha na kujenga hili taifa twabaki kutazama maungo ya mwanamke pia inaonesha mnamchukulia mwanamke kama chombo cha kuweza kujifuraisha nafsi zenu kwanini msioneshe miguu ya mwanamume na kusema mambo ya pwani?.si ndio baba angu, si nasema ukweli hapo.

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa ni mlokole, siasa kali au ni mshamba. Ati ngono sijui nini, Michuzi aliyeweka hiyo picha hajasema hayo uliyomsemea. Wewe ndio una mawazo ya ngono, sababu kutokea hewani tu ngono, ukimwi, Waafrika wanapenda starehe na maneno lukuki yasiyo na mpango. Wewe kama hupendi vitu anavyofanya Michuzi usitembelee blogu yake, siyo uanze kuleta masharti yako kama mganga wa kienyeji. Unakera kweli kweli

    ReplyDelete
  8. tutaendeleaga kufa kwa ngoma na kubakiaga masikini.

    ReplyDelete
  9. HII KITU IMECHORWA MPAKA JUU KUMANI HUKO,,, KUNAKIMSHALE KUELEKEA CHUMVINI AU MATOPENI SASA HAPO UNACHAGUA MWENYEWEKWA UNATAKA NINI NA SHURTI UTUMIA NCHA YA ULIMI WAKO.chipopo.com

    ReplyDelete
  10. raha sana wewe davy acha matusi.

    ReplyDelete
  11. sasa umeona bwana shemeji matokeo ya kuweka hizi picha? umeona wanajamii walichojifunza? ni ngono na starehe.kama mwandishi ni jukumu lako kuwezesha jamii inayo kuzunguka bila kusahau watoto wanaweza kujifunza na kuiga mfano toka kwako kutokana na kazi yako.utakuwa umeona matokeo yake na kujifunza ktk jinsi ya kutoa habari.

    ReplyDelete
  12. nyie watu mnaokandia hizi picha, kwanini mna fungua comment box na kusoma?kama hamzitaki all you have to do is scroll up na waache watu wengine wapate burudani.

    ReplyDelete
  13. Hiyo sio hiiina washamba wakubwa huo ni wanja mwanangu ukipakwa huo shughuli inakuwa sio ndogo sasa huo bin Amii yake ni Udi mwanangu hapo niambie na asumini hapo tena mpaka mawiooooooo mwanangu watoto wadogo hamuoni ndaniiiiiiii waulizeni wazanzibari hizo shughuli eeeeeeeeeeeeeen ntumeeeeeeee Muhamadi sheillillah

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...