pauline rupia ni mmoja wa ma-mc hodari na mashuhuri sana dar. hapa akifanya vitu vyake wakati wa hafla ya shirika la ndege la africa kusini juzi pale hoteli ya sea cliff

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Anaonekana kama onaongoza Aerobics class!

    ReplyDelete
  2. Toto mayai huyu. Naoan hana cha kuringia siku hizi baada ya baba yake kubwagwa ubunge

    ReplyDelete
  3. Pauline ni mzuri sana bongo sijaona kama yeye

    ReplyDelete
  4. Jamani Pauline ni mtoto mzuri nilikuwa nani'nginia naye enzi za Marine House ya wamarekani nyuma ya ubalozi wa zamaniwa kimarekani!
    Je ameolewa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...