dully sykes misifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Misifa ulikuwa ukumbi gani huo usiokuwa na Air Con? Duu... nilikuwa sijatazama vizuri, kumbe hata ukumbi wenyewe hauna hata ceiling board?

    ReplyDelete
  2. Iko siku hawa vijana watakuja juta kwa nini hawakukazania shule kwanza! wakati ndio huu shauri yenu kizazi kipya. Kwa hali niionayo ulimwengu ujao hautakalika bila elimu. Ushauri wangu ni kwamba hizi hela mnazozipata sasa hivi mngejiwekea akiba ya elimu kwanza badala ya kununua magari ya kifahari na vinginevyo. Haya sasa hivi nasikia Mr.Blue hataki shule!! Mmh, yangu macho halafu baadaye tunaanza kulaumu ooh viongozi hawatutengenezei mazingira mazuri ya kazi...wakutengenee vipi wakati wewe mwenyewe hufanyi maamuzi yako vizuri wakati uliokubalika?

    Dully ndugu yangu asikudanye mtu, shule ndio kila kitu. Ingependeza namna gani kuonekana misifa yako ni ya kubukua..kwamba "jamaa lina misifa hilo halitaki kabisa kuonekana halijui kitu"

    ReplyDelete
  3. what is misifa,is that a positive character for a person? mi nashangaa watu na akili zao wanaenda kumwangalia mtu mpenda misifa,upuuzi mtupu,mtu mwenyewe aliacha shule darasa la nne, dully sykes hata cheti cha darasa la saba hana,.....kichwa maji huyo...
    emergencypoison.

    ReplyDelete
  4. eti handsome boy mbona anadhalilisha wanaume wa watz kijianaume hata hakijai popote mi ananiuzi anavyojiita misifa handsome whatever!!

    ReplyDelete
  5. wee acha tu emergencypoison. Comments zako ni kali!!! Kumbe jamaa hana cheti cha darasa la saba? Hivi kuna mtu mwenye cheti cha darasa lasab? Kile cheti huwa hakitolewi mahali popote pale!! Revd. MP

    ReplyDelete
  6. swala la mtu kuishia au kutofika darasa la saba halitoshelezi kama lilivyo kuwa ni indicator ya elimu ya mtu.jamani elimu sio mbaka mtu akae kwenye dawati halafu mbele yake kuwe na mwalimu mwenye fimbo.kitendo cha kujua kusoma na kuandika ni mtaji pekee unaohitajika ili mtu aweze kuelimika kwa njia mbalimbali hata kama hatapata cheti chochote.labda niulize swali,je mnaweza kuniambia malcolm x alisoma mpaka level gani?na swali lingine,je kama mngekuwa karibu na misifa mngemshauri asomee fani gani na kwa lengo gani?sisi tunamuona misifa jukwaani na hatujui nini anafanya kwenye nje ya jukwaa ila the fact ni kwamba kama msanii lazima atakuwa anajifunza mambo mbalimbali kwa utafiti wake yeye mwenyewe au kupitia kwa producer wake.kwani michael jackson kasoma mpaka level gani?je ni lini tutajifunza kukubali kuwa sanaa nayo ni fani????????misifa ni jina la kisanii...hii ni aina fulani ya ujanja ya kupata umaarufu kwa njia ya kuchochea criticism.by the way misifa ni just kiingereza cha too proud,kwa hiyo kuna misifa wawili bongo?...........zemarcopolo!

    ReplyDelete
  7. The end justify the means...hata kama ukiwa na Bsc 40 kama huwezi kuitumia ina maana gani? ni bora uwe na kipaji na kukitumia ipasavyo kama huyo dogo anavyofanya.

    ReplyDelete
  8. jamani huyu jamaa kweli kizibo maaana nakumbuka siku moja niliwahi kukutana naye ubalozi wa uk kaenda kuomba viza.akaulizwa unataka kwenda uk kufanya nini?
    jibu aghaa chizi wangu naipenda tu hiyo nchi nikisikia watu wakienda.acha tu niende ili nije niwachape bakoro machizi wa uswahilini

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 01, 2006

    human being are different and we always have different paths of life.previous experiences do shape our later life say if your family was a top or middle class family you most likely going to end up educated and earn your money through education, if your family was in busines s the same might happen and If all Tanzanians were educated who would be entertainers????!!!! that is his career and he earns his life through that. show him some respect.

    ReplyDelete
  10. mk kiswahili pliiiizzz. wengine inglishi is not richebo. kunradhi lakini...

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 01, 2006

    si matusi michuzi, ntajaribu kutafsiri niliyaandika. pole sana mzee tunashukuru sana kwa kutupatia habari za Bongo

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 03, 2006

    alafu wewe mk kiingereza chako cha hovyo sana hebu fanya bidii kukiimarisha umaleta aibu.

    andika kiswahili watu wote humu ndani wanatumia kiswazi iweje leo ujifanye christopher columbus. kwenda huko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...