Home
Unlabelled
msosi wa butiama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ona walivyochoka jamani maskini nchi yetu hii kweli haina nidhamu,lakini nasikitika kusema hayati alijitoa kwa nchi zaidi ya watoto wake nampongeza kwa hilo maana hata maandiko yanasema toa ulicho nacho chote EE MUNGU MBARIKI BABA WA TAIFA.
ReplyDeletejamani mungu awape afya mbona wamechoka hivyo.
ReplyDeletendio maana wakatoliki tunaamini alikuwa kiishi kama mtakatifu.
ReplyDeleteviongozi wetu wa sasa wamejawa na umobutu mobutu useseseko akilini mwao. Mungu atawalaani waoze korodani zote mbili ghafla.
heee wenzenu wanafyonza kuku kwa mrija,, haaaa wema umelizidi.ohh msosi kwa spuryte.
ReplyDeleteMsiwadharau na kuwaona wamezubaa. hiyo ni geresha tu. Hapo walipo wana bilioni kwenye Swiss Bank...
ReplyDeleteDah! Hivi Anna Mgonjwa nini? Halafu Madaraka siku hzi tumwite Mzee Madaraka!
ReplyDeleteWEWE ANONYM HAPO JUU,KWENU HAKUNA WAKUBWA?MAMA/BABA YAKO HAWAUMWI?SASA CHA AJABU?NYERERE HAKUWALEA KAMA UNAVYOFIKIRI WEWE NA NDIO MAANA WANAISHI KAMA BINADAMU YEYOTE!KWA MWENYE BUSARA,"DUNIA TUNAPITA,KILA KITU KITABAKIA,BINADAMU NI MCHANGA!"
ReplyDeleteDUNIA ISIKUKOSESHE UTU!