jk kijijini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Jk nakupa pongezi kuwa karibu na wananchi

    ReplyDelete
  2. This is the President who is take it to the next level. Lets give him....

    ReplyDelete
  3. Michuzi,

    Nina swali moja tuu kwako , hii picha ilipigwa kabla ya JK kuwa Rais au baada !

    Natanguliza shukrani !

    ReplyDelete
  4. eeee kikwete wewe kiboko!!!

    ReplyDelete
  5. hapa wapi Michuzi?

    ReplyDelete
  6. Hii itakuwa kabla ya uchaguzi vinginevyo ungeona wapambe wake kwa wingi.
    Kufanya hivi tu haitoshi, mwisho wake nini? Hao alionao hapo wanafaidika nini na huko kujichanganya nao. Haya ndiyo mambo ya matnaga kwenye msiba, matokeo yake watu wanatafuna vi mali vyote vilivyokuwepo na msiba unapoisha familia hiyo inabaki maskini vibaya.

    ReplyDelete
  7. Mheshimiwa Michuzi-
    Picha ya namna hii ni priceless, na kazi unayoifanya especially kwetu sisi tulio ughaibuni ni priceless. Nakutakia maendeleo na mafanikio mengi but above it all nakutakia mafanikio katika kuendelea kufundisha na kuburudisha kupitia picha zako!!

    ReplyDelete
  8. Michuzi samahani lakini sielewi unaposema mtu wa watu unamaanisha nini kwasababu hajavaa viatu,au kwasababu ameenda kuwatembelea watu hao sijaelewa nifafanulie kama kuvua viatu ndio kuwa mtu wa watu? au kuwatembela hao watu au vyote?

    ReplyDelete
  9. hapa jk alikuwa waziri wa mambo ya ndani na mbunge wa chalinze, wakati wa mafuriko ilopita ambapo ilibidi atembelee kuona atasaidiaje. magari yalikuwa hayafiki na akadunda kiasi cha km. 10 hivi kwa mguu

    ReplyDelete
  10. Umemchanganya na Lyatonga Mrema nini? sijawahi kusikia mtu anayeitwa Jakaya Kikwete waziri wa mambo ya ndani.

    ReplyDelete
  11. michuzi umechanganywaaaaaaaaaaa....
    good day

    ReplyDelete
  12. Tunaendelea na kampeni baada ya uchaguzi. Badala ya kujitayarisha kuwajibu wapiga kura kazi 500,000 alizoanzisha (kazi millioni 1 kwa mwaka) tokea aingie madarakani, anaenda kuhangaika na mchovu mwengine, Mugabe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...