Home
Unlabelled
nancy na yanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mlinzi kutoka Burundi domo kama anataka kuomba busu, kipa Mapunda anaonekana kuanza kukagua chombo kutoka mguuni
ReplyDeletemichuzi hii picha ni ya muda kidogo au ni ya hivi karibuni?
ReplyDeletemtoto ana chuchu nzuri tamu sana huyoo..
ReplyDeletewachezaji wa yanga wanapatwa na kigugumizi kama cha Waso...
anaona vifaa kama hivyo uwanjani ni adimu sana...angekuwa mwanangu mogella hapo angeshaomba namba ya simu
NI MZURI NDIO NA UKIMWI NDO UNAKUSOGELEA KADILI NA MAWAZO YAKO YANAPOFIKA HAPO.TETETEH AKO KA UGONJWA WAJAMENI HAUCHAGUI MTU.CHUNGENI WAJAMENI.
ReplyDeleteMichuzi ni vyema kuwapromoti watu wenye vipaji mbalimbali,nigeshauri pia kama jamii ya watanzania itawapromoti watoto wetu wanaofanya maajabu katika masomo yao(genius)ili itoe changamoto kwa vijana wetu.Elimu ni ufunguo wa maisha,Elimu ni uhuru.Mambo mengi yanayotukabili sasa hivi ni kwa sababu ya mfumo wa elimu viongozi wetu wachache waliona elimu safi wengi wao wana vyeti bandia ndo maana maamuzi yao ni ya ajabu ajabu.Wamarekani wametumia mwanja wa kuwapumbaza wamarekani weusi katika hilo,wanamichezo wengi wahapa marekani hasa weusi elimu yao ni wasiwasi wengine wanapewa credits hours kwa ajili ya michezo wanakuwa na fedha lakini elimu hawana matokeo yake wanaishia kubaya akina Mike Tyson,mali zote zimepukutika,Kina Kobe wanaingizwa kwenye Kashfa na wengine wengi msemo wa (kosa mali pata akili una maana).Kama huna mali lakini akili ipo utafika mbali,naposema akili si maanishi Ubongo kichwani maana kila mtu anao nina maana ya kuelimika.Wazungu wanatutawala kwa akili tu ndo maana hujawahi kuona mzungu akiuza duka Kariakoo.Mzungu anacheza na elimu na anatutumikisha.Hivyo basi Michuzi washauri wakubwa huko walione hilo wasaidie viongozi wetu wa kesho kijana anapofanya maajabu katika shule uvumbuzi apigiwe debe,na wewe tufanyie hivyo
ReplyDeletehawa warembo wape miaka 30 watakuwa wamechoka sana,wapi kina Bayi, Nyambui?.Promote vijana wawekeze "upstairs"tusifike mahali tuanze kutafuta mpumbavu wa kwanza katika kundi la wapumbavu ndo awe kiongozi."Sijui itakuwa bora lipi mpumbavu wa kwanza au wa mwisho kutuongoza"huko ndo tunakoenda maana wachache sana wanaoona swala la elimu kuwa ni la msingi.
wacha koungea upuuzi wewe bila ya kufanya utafiti.
ReplyDeleteunajua bayi kafungua shule ngapi za watoto tanzania, na jee unajua nyambui anafanya nini kila jambo ni la msingi.
hakuna lakupigwa teke lingine likabebwa.
wewe unayeona swala la elimu ni la msingi umefanya nini kulipa changamoto?
Watanzania bwana kila kitu ni lugha za matusi jamaa kaongea vizuri mwingine katukana.
ReplyDeleteKazi ya blog ni kubadilishana mawazo na kufikisha ujumbe na sio matusi, Hasira wala Jaziba.
Tutumie blog kuelimishana.
Michezo ni mizuri lakini Bayi na Nyambui ni idadi ndogo ndani ya Tanzania hivyo kitu cha kwanza ni Vizuri kukazania elimu kwa watoto wetu na jamii nzima ya Kitanzania ikifuatiwa na Michezo maana ni uhakiki wa maisha. If we ensure that Tanzanian children succeed in life, they will ensure that Tanzania succeeds in the world.
Elimu ndio kitu muhimu ata ukizeeka utaendelea kunufaika nayo.
Michezo ikitokea umezeeka au kuumia ndio basi tena upati chochote, Lakini elimu inabaki pale pale.
Mwisho, nawaomba tutumie lugha nzuri ktk kuelimishana na siyo matusi maana hapa hatupo ktk Vita vya maneno. Upendo uwe daima nanyi.
Idumu Tanzania.
Nadhani sitokuwa nimewaudhi baadhi ya wasomaji wengine, Kama mtakuwa mmeudhika kwa yote nawaomba mniwie radhi.Ukweli utabaki ukweli.
Nashukuru,
©2006 MK
mwenye namba 10 ni Nadir Haroub Cannavaro
ReplyDeleteMk nafikiri wewe ni miongoni mwa watu walioelimika anonymous huyu anayetumia majibu ya matusi katika kutoa hoja ni miongoni mwa hao tunaowataja ambao aidha elimu imepita pembeni au anaelimu lakini hana hekima,busara na maarifa.Nashukuru kwa mchango wako.
ReplyDeletekama anatarifa za kina Bayi na Nyambui waeleze watu wapate changamoto siyo kusema au niite kuropoka (sina lengo la kumkejeli huyo ndugu)lakini ajifunze ustaarabu.