mwenyekiti wa cuf profesa ibrahim lipumba
na mwenyekiti wa nccr mageuzi james mbatia na wafuasi wao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. rasi gani huyu anapenda kuvaa nguo za marangirangi sana huyu mtu ananiboa!!!!

    kila mara nguo ina rangi nyekundu,mara maua ya pink,ohh zambarau imechanganyika na kinyani kibichi naipenda CUF lakini president sioni kama anadeserve bwana unajua kuna vitu vidogovidogo sana vyaweza kukupa picha kamili ya mtu hata kabla hujatafuta sana undani wake.

    ReplyDelete
  2. Hovyo!!! huna upenzi wowote wa CUF wewe acha kamba na saikolojia yako feki ya kufahamu wat kwa undani.

    ReplyDelete
  3. ha ha ha ha ha anony hapo juu mbona umeongea kwa dukuduku hivyo? hata mfanyeje hilo licuf halishindi hata kwa dawa mmezidi na nyie..makelele mengi hamna kitu embu tuondoleeni bughudha sie.

    ReplyDelete
  4. Mbona Kiwete hakuachia utamu na hata akatumia mabillioni ya Wahindi na Waarabu kuunyakua? Walala hoi lazima mlipe hizo hela za magabacholi zilizompeleka Kiwete Ikulu.

    Wanaojiita wanamtandao wanachuana na vibabu na wachovu wa CCM... Kaa mkao wa kula CCM iko njiani kumomonyoka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2006

    ebu acha tuhuma za kikereketwa we aony hapo juu......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...