charles njonjo wa leo akiwa na suti yake yenye maandishi ya cn cn cn kwenye mistari, ua waridi na kitambaa cheupe na saa ya mnyororo wa dhahabu kisibaoni. shati lake limerembwa kwa mkono na analaani sana wanaovaa tai za kipepeo (bow/butterfy tie) akinadi kuwa ni maweita tu wenye kuvaa hizo. hapa alikuwa akihutubu siku ya harusi ya mtoto wa jaji mark bomani, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu babu naye kwa kujifanya MZUNGU!! Eti hawezi kupanda ndege inayoendeshwa na marubani weusi!!

    ReplyDelete
  2. Sio anajifanya mzungu ni Mjinga ! Tatizo moja kwenye nchi zetu maskini tunawathmini sana watu wenye hela regardless wamepata vipi, pili kwa yeye kusema kuwa avai tai ya bow butterfly kwa sababu zinavaliwa na maweita ni jambo la kuhuzunisha sana , anamaanisha ya kuwa maweita sio watu ?

    Huyu mzee ni mmoja ya wazee wajinga ambao hawana nafasi kabisa katika jumuia yetu ya wastaarabu!

    ReplyDelete
  3. huyu jamaa msenge,wala watu wenye akili zao hawaezi kupoteza muda wao kumsikiliza punguwani huyu...
    he is too proud to get the fucken respect,nasikia maji ya kunywa huwa anafata uingereza kwa ndege, sasa hayo si ni matusi jamani.....
    emergencypoison...

    ReplyDelete
  4. Charles Njonjo siyo mjinga bali ni mpumbavu.Mjinga akifundishwa anaelimika na ujinga wake unafutika,Huyu mzee ni miongoni mwa wapumbavu maana upumbavu hata ungekuwa profesa utabakia mpumbavu.
    Huyo ndiye aliyeua jumuia ya afrika masahariki kwa wale vijana ambao bado ni wadogo hamjui mambo ya siku nyingi kidogo.Aliiua kwa marengo yake binafsi.naposema aliua jumuia nina maana kuwa mchango wake ulikuwa mkubwa katika kuiua,nasiku ilipovunjika alishangilia kwa kufungua chupa ya shampeni.kwa hiyo hatumshangai,bwana Bomani na yeye ajiangalie maana ukisindikiza mwizi nawe unaitwa mwizi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 03, 2006

    Vijana tumieni lugha laini wenye historia aje nayo sio kurusha matusi kama punguani kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki hakukua na ridhaa ya wananchi weusi wa afrika ya Mashariki ilikuwa ni tamko toka kwa viongozi wetu walijisimika Ufalme wa kupanga taratibu za watu haya ni makosa ambayo yalifanywa hakukua na hata kamati ya Miundo Mbinu ya kuangalia utaratibu wa Jumuiya ,Ukusanyaji mapato na ndo maana Idi Amini aliona Mzee Jomo Kenyatta na Mwalimu wanamchanganya .
    Mosi hamuwenzi kuwa na Shirikisho la Afrika Mashariki huku moja ya nchi wanachama ikiendeshwa kwa siasa za kisoshalisti na nyingine ikiwa centre yaani Uganda na Kenya ikiendeshwa kwa ubepari na ndo maana tukaishia kuwa na chuki na akina Jomo Kenyatta na Charles Njonjo walijua lini jumuiya itakufa wakachukua chao mapema na sisi wazalendo wa tanzania hatukuambulia kitu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 03, 2006

    Jamani kujua kiswahili sio kuwa ni mtaalamu wa Lugha hiyo tazameni hapo juu kuna bwana mmoja anatumia vibwagizo kuwa rafiki ya mwizi ni mwizi nani kasema hivyo na ni kamusi gani au riwaya gani imeteta hivyo Bw Bomani na Charles Njonjo ni marafiki wa siku nyingi toka enzi zao shuleni Uingereza na hata kuwahi kufanya kazi kama AG wa nchi zao sasa tatizo liko wapi, Mbona mwizi wa dada yako huendelei kumwita mwizi na akisha muoa unamwita Shemeji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...