hassan rehani bitchuka na shakila saidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Wacha wewe!

    Juzi juzi nimeiibua kaseti yangu ya Viva Frelimo. Nilikuwa nasikitika kwamba Abdallah Ezzah kaipoteza kumbe mshikaji mmoja alikuwa kaiazima bila kusema. Halafu uzuri wake akaihamishia kwenye CD. Kwa hiyo sasa nina kaseti na CD ya Viva Frelimo!

    Michuzi, huna Viva Frelimo kwenye Maktaba yako! Unabisha?

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  2. Hapo umenigusa MICHUZI
    Hawa wawili kwa kweli wamejaaliwa sauti hapa Tanzania si utani. Nani asiyejua umahiri wa Shakila kwenye nyimbo kama hiyo aliyoitaja Mti Mkubwa au Macho Yanacheka Moyo unalia. Bitchuka ndiyo usiseme.

    ReplyDelete
  3. Oyaa Wajomba hebu niasaidieni kidogo hivyo Bitchuka mtunzi mzuri wa nyimbo?? Maana mimi katika nyimbo zake najua ule Fikirini tu hebu wajomba nipeni mifano ya nyimbo nyingine alizozitunga huyu mjomba. Kusema kweli kwa sauti tu na kuimba huyu mjomba hatari sana.

    Ali Pembe - Gomigo

    ReplyDelete
  4. bwana shemeji we vipi mbona watuwekea picha mbilimbili mala tatu tatu.fanya makeke.bwana michuzi umetupata picha moja inatosha.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2006

    mimi mzungu - nisamehe, siwezi kuongea kiswahili vizuri, na nimesahau maneno mengi. nataka sana sana kupata maneno ya nyimbo, Macho Yanacheka, Moyo Unalia. Kama mtu yo yote anajua ile maneno, labuda anaweze kuandika nyimbo hapa, na nitaweza kusoma. Asante sana kama unaweza kunisaidia!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2006

    ai seee! hapa sasa michuzi umeleta mambo yenyewe.Huyu Shakila ambae mimi ninamuita Shangazi amejaliwa sauti na ana kipaji cha kua muimbaji marufu sana.hey,mimi nina nyimbo hiyo na sijaweza kuitoa kanda hiyo ndani ya gali kwani inanisaidia kudrive vizuri.hongera Shangazi Shakila!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 02, 2007

    michu jama wa kizungu mbona hakuna aliyemsaidia si kaomba jamani,acha nishai michu na wana blog kama mnaijua hiyo nyimbo hebu mjibuni jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...