uzuri ama ubaya wa kazi hii ni kualikwa popote pale. hapa ni siku ya chiken pati ya bingwa wa mitindo khadija mwanamboka akijiandaa kujimwayamwaya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. naona anatia mikorogo ya kila aina,lazima ameremete.

    ReplyDelete
  2. ina maana alikuwa single, michuzi usikose kutuletea na picha za harusi.

    ReplyDelete
  3. DAAA HILI SHANGINGI MWANANGU

    ReplyDelete
  4. Tunaomba picha za harusi yake tafadhali!

    ReplyDelete
  5. Issa,

    Ni "chiken party" au "kitchen party" ?

    Wacha kunivunja mbavu.

    Picha safi sana. Endelea kututumbuiza mwanangu.

    Tunashukuru sana.

    ReplyDelete
  6. Hivi kaolewa na Ibrahim Gobolos ama? Tuwekee picha za harusi basi Michuzi tujionee mambo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...