supamodo wetu miriam odemba hivi sasa anafanya kazi zake nyingi hong kong ambako amepata mikataba ya uoneshaji mitindo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. mbona anaonekana kapinda, au ndio mambo ya akina naomi campbell ya ma heroin?

    ReplyDelete
  2. kupinda kwake we wakuhusu nini acha umbeya weye.utakuja kusutwa weye siku.

    ReplyDelete
  3. hahhahhahha ananomi mpe vidonge vyake mbea mkubwa huyo, yeye macho yake ndo yamepinda ndo maana anaona watu wamepinda.

    ReplyDelete
  4. mmmm missi kiti moto au?

    ReplyDelete
  5. Kama mi naona kapinda we kinakuumiza nini bwana? Mpe Kaka issa picha yako aiweke hapo basi watu tuku discuss.

    Unakasirika mimi kuweka maoni yangu, unafikira blogspot ni ya nini?

    Na mambo ya umbeya yametokea wapi, tofautisha umbeya na maoni wewe?

    ReplyDelete
  6. wewe unaetoa kasoro watu ndo uweke picha yako tukuone ulivyonyooka.

    ReplyDelete
  7. ACHENI MTIMANYONGO NYIE.

    ReplyDelete
  8. Kaliugugua haka ka binti tukadhani kataenda zake ahera lakini kapo tunauwana kwa midomo sana wabongo

    ReplyDelete
  9. hongera miriam, endelea kuitangaza nchi yetu

    ReplyDelete
  10. michuzi block anonymous access hapa waban

    ReplyDelete
  11. Brother Michuzi huyu jamaa yuko China nini mbona anakufundisha kazi wakati wewe unaijua kazi yako tena mzoefu kwa karibu miaka 16

    ReplyDelete
  12. kana ngoma ka odemba....

    ReplyDelete
  13. ARV zinamsaidia Odemba anavutia, wachina wanajikombea madudu kinoma

    ReplyDelete
  14. You look pretty girl, Do your things don't listen to silly people I am sure they dont know what going on in the really world, You better teach them darling move on baby. I am so Proud of you sweet- kutoka ulikotoka hadi kufikia hapo mtu asikuangushe you achieve something and you did your best shot sis! Good Luck and usisahau kuwa unamuombea Amina Mongi kwani bila yeye usingefika hapo darling

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...