kinadada ndani ya vitenge vya wax

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Very nice, wamependeza mnoooooooo!!!

    ReplyDelete
  2. Bro Michuzi, hiyo sio wax ya kitenge, bali ni khanga ya Musoma Textile Mills Ltd, na maneno yake ni "Nalidhika na unyonge wangu". Najua kiswahili sahihi ni "Naridhika" bali imeandikwa hivyo. Safi sana, na kweli Bongo tumeendelea; wamependeza haswaaaaa.

    ReplyDelete
  3. Very impressive. Bongo inabidi tupromote mavazi kama haya nje, kama wenzetu wa Nigeria au Ghana walivoweza kupromote yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...