Home
Unlabelled
wapi hapa vile???
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wanazuo wakipata weledi hapo Mlimani. Picha hii inazungumza mengi sana huenda ni makala napaswa kuandika kabisa. Safi sana nitaweka mawazo haya katika "Barua kwa Mama." Thanks Michuzi.
ReplyDelete'Homu' hapo. Sina uhakika lakini wanasema ukiwa mwanafunzi Mlimani na usipofika chini ya huo 'Mdigrii', walau hata kusimama kwa dakika moja, kama vile kumsalimia mshikaji, humalizi chuo-disco.
ReplyDeleteraha sana
ReplyDeleteDuh,unanikumbusha mbali saaana michuzi.
ReplyDeletena hivyo walivyokalia hao wanafunzi vinaitwa 'vimbwete' au sio john?
ReplyDeleteni jambo la kusikitisha kuona ni jinsi gani wanachuo wenzetu walivyokuwa wakisoma kwa shida hivi vimbwete vilikuwa vya mangwini!!!! wenye chuo(wahandisi)tulikuwa na madarasa yetu ambayo ngwini hakuruhusiwa kuonyesha sura yake.
ReplyDeleteSisi wananchi wa FoE (sasa CoET) huko tulikuwa hatukai hata kidogo hapo Mdigrii.
ReplyDeleteBwanChaz
Michuzi!
ReplyDeleteDu hii sasa noma vimbwete vimeongezeka namna hii hadi kumaliza kabisa uoto wa asili nakumbuka wakati huo vilipokuwa vikianzishwa ilikuwa ikichukuliwa kama utani sasa hivi mhhh!
Makene si unakumbuka hapo kwenye huo mdigrii jinsi majani makavu na viwavi walivyokuwa wakisumbua nyakati za kiangazi. Hapa washikaji wanaonekana wakipasha msuli wakisubiria kukimbilia darasani ambapo kabla yake hugombea viti kwa fujo.
Nakumbuka wakati huo Eng. Prof Tolly Mbwete alikuwa ndio Program Manager kuhakikisha idadi ya wanafunzi inaongezeka chuoni UDSM akaamua kuwajengea mangwini hivyo vimbwete. Sisi wa FOE tulikuwa tunapeta A21
ReplyDeletemainginia wa chini ya mwembe kwa kuangusha magorofa wanaongoza!!
ReplyDeleteHivi ngwini masomo yalikuwa yanahitaji vimbwete kweli vya kusomea au yalikuwa ni sehemu ya mazungumzo wakati mnapigiana hadithi tu vyumbani? maana naona jamaa kajipindaa sanaa hapoo
ReplyDeleteEti sisi wenye chuo FOE..! ni uwendawazimu kufikiria kuwa kuna kozi babu kubwa kuliko nyingine. Mmmekuwa sasa inabidi muanze kuona kila kitu katika úkweli kuwa dereva si zaidi ya kondakta, isipokuwa ni mgawanyo wa majukumu tu.
ReplyDeleteMkichoka mkalale maana msije mkawa mnanyonyesha m-bu.
ReplyDeleteMAKENE NAJARIBU KUTAFUTA HISTORIA YAKO KWA UFUPI SIIPATI,SEKONDARI UMESOMA WAPI WEWE?LINI?
ReplyDelete