Home
Unlabelled
watoto wa jah kaya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya wazee wa jah kaya mnapendeza na jua la bongo
ReplyDeletehivi Kaya si bangi au sio, sa hii ni bangi ya Jau au
ReplyDeletehizo rangi na hilo neno na hao wanamuziki na kuwa watoto wa jakaya sielewi mimi yaani kweli mnaweza kumshusha raisi wa nchi yetu tukufu katika UJINGA huuu? eti mtoto wa JAH KAYA what is this?
ReplyDeleteOna walivyokaa kwanaza...dizaini ya wezi wa kuku tu hawa hamna lolote.
ReplyDeleteDagna, you look good
ReplyDeletewanakazwa tu hao,wana maana basi....
ReplyDeleteHapo ni Ikulu, rais wetu haelewi maana ya JAH KAY, siku hiyo aliwafagilia kichizi na hiyo lebo.
ReplyDeleteNdugu zanguni,
ReplyDeleteMambo na wakati. Haya ya kina watoto wa Jah Kaya hayajaanza leo. Awali walikuwepo kina Marehemu Mzee Makongoro, Marehemu Mzee Mwinamila, Marehemu Mzee Mayagilo, Marehemu Kapteni ? wa JKT na Kapteni John Komba. Sasa wameingia hawa Watoto wa Jah Kaya.
Miye nikiwatizama nawaona Watoto wa Jah Kaya kama "vijana" sana. Jina lao limenikuna sana "Watoto wa Jah Kaya", siyo masihara! Sijawahi kusikiliza kazi zao na wala siwafahamiani nao. Kwa hiyo naomba wale mnaozijua sanaa za kabila hii mnipe mwangaza zaidi juu ya "Watoto wa Jah Kaya": Hivi kiusanii wanakaribina na waliowatangulia? Waliowatangulia walikuwa wahamasishaji umma, je hawa nao ni wahamasishaji umma? Waliowatangulia walikuwa wanaalikwa kwenye shughuli mbali mbali za chama na serikali, hali kadhalika kwenye dhifa kubwa kubwa za kitaifa. Je na hawa nao wanaweza kuitwa kwenye sherehe mbali mbali za chama na serikali, hali kadhalika kwenye dhifa kubwa kubwa za kitaifa?
Masalaam,
F MtiMkubwa Tungaraza.