Home
Unlabelled
weka hapo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kofi analala na mamake, wacongo kwa uchawi noma, ndio eti nyota yake ing`ae.
ReplyDeleteaisee ni ya kweli hayo? na huyo mama ake
ReplyDeleteamepumbazwa au naye ndio katika kumsupport son?
wewee mmama mzima unamwonyesha koffi ashike paja lako kisa aweke sahihi una akili kweli wee na mtoto wako akafungue mtandao aone hiyo picha aone kweli UMEDATA WEWE...no hujadata UMECHEMSHA ungempa kitu chochote au mahali popote lakini si paja wee vipi
ReplyDeleteannon acha ushamba, macelebrities wameshasaini mpaka tako, titi sembuse paja, halafu kwani mwanae akimuona kunanini, si ni ushabiki tu, du annon unabore kishenzi, umetokea sayari gani wewe??? usitoe pumba zako hapa, hapa ni mahali pa kuangalia na kuenjoy mwenyewe.
ReplyDeleteAkina anonimous,
ReplyDeleteAcheni lugha chafu katika blogu jamani mjiheshimu, mtandao huu umewekwa kwaajili ya kupashana habari, kutiana changamoto, kuchangamshana na kila lenye heri nyinyi badala ya kuendeleza hayo mnatukana acheni, jitambulis heni kwa majina yenu tuwatambue!
charahani nashukuru kwa kunisemea. sina tabia ya kuingilia malumbano, lakini sasa naona lugha zenye utovu wa ustaarabu zinazidi. tena nahisi ni watu wawili hao hao tu. jamani, tafadhalini punguzeni, kama si kuacha kabisa. au kama ni ngumu kuacha, naruhusu mtu atukane tani yake ila si kwa kivuli cha anonymous. sipendi kufanya 'censorship' kwani itaondoa utamu wa mijadala. lakini tafadhali lugha ziwe za kusomeka basi, au vipi washkaji. vinginevyo nashukuru kwa kunitembelea, mnanipa moyo sana. asanteni wote. naomba ushirikiano tu...
ReplyDeletehuyu mama kaharibu kweli, sehemu hii ya paja ni kwa ajili ya baba tu,na labda daktari,unaona sasa ameshalegea hata zipu inaweza kufunguliwa.
ReplyDeletemwaipopo
HAWA WAPENDA MATUSI WANAKERA!HIVI HAWASOMI SHAURI ZA WENZAO?JAMANI EEEEEEEEEE!HATUTAKI MATUSI.YANI ILE UNAONA KITU CHOCHOTE TU UNAWAZA MATUSI,KISAIKOLOJIA HIYO NI"VURUGU YA MAONO"-HAPO KUNA WALAKINI KWENYE MALEZI.UKIFUATILIA KWA UMAKINI MAISHA YA FA MILIA WANAZOTOKA WATU HAWA,UTAGUNDUA KULIKUWA HAKUNA KIONGOZI KATIKA HIYO FAMILIA ZAIDI YA POMBE,BANGI,GONGO HATA MADAWA MENGINE YA KULEVYA.HATUTAKI MATUSI1!!!!!!!!!
ReplyDelete