
hassan ambaye ni mwana wa tx moshi william akipokea toka kwa teweli teweli wa kampuni ya sigara tuzo ya utunzai bora kwa niaba ya baba yake mwaka jana. hassa hivi sasa naye amejikita kwenye bongofleva na anatarajia kutoa singo zake kadhaa hivi karibuni. ana sauti nzuri kama baba yake na nyota ya kupendwa anayo kwani ana nidhamu ya hali ya juu


huyu teweli anapendeza.
ReplyDeletenyie mnaokimbili ughaibuni mbona kuna vijana wadogo tuu kama kina teweli wanafanya kazi za maana, nyie mtakaa huko mpaka lini bila ya kuupa mchango nchi yenu.
ReplyDeletekwa sababu kama mtu unaamua kutaka au kufanya mabadiliko lazima uwepo pale kimwili ili kuonyesha tofauti.