mwaka 1994 miss tz iliibuka na mshindi wa kwanza alikuwa aina maeda, lucy ngongoseke (Sshoto wa pili na dotto abuu wa tatu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 25, 2006

    huyu lucy ngongoseko ndio tabasabu ngongoseko? ambaye sasa ni lucy kihwele?
    alikuwa mrembo wa ajabu lakini sasa ukimuona unashindwa kurelate hao watu wawili kama ndio huyohuyo mmoja kweli ukubwa una mengi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 26, 2006

    -Michuzi may we have more diverse photos on this blog to debate on rather than photos of 2001 Miss Tanzania, or 1996 Miss Upanga or Miss Tabata,or photo's of half- naked Masai, or Zuru women?
    I know you can do more than that Michuzi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2006

    Michuzi Aina Maeda yupo wapi?? kesha olewa au?? natrafuta mke miss na mimi ingawa washkaji wananitonya kuwa wanaliwa ovyo na wenye pesa mjini,lakini mimi huyu dada nammindisha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2006

    Michuzi, mbona unanichunia kaka yangu, mdogo wako natafuta mke miss na mimi. Huyu dada yupo wapi? kaolewa? naamini wewe unaweza kunifahamisha nianze kuwinda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...