burudani ya chipolopolo miss upanga 2006

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2006

    Pandisha mizimu nikunyonyoe manyoya. Huyo diofu ameacha tabia yake ya ulevi na kuombaomba?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2006

    aish yu wapi mbona asimuoni hapo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2006

    ... kama kuku wa kirisimasi ee.. aisha yuko umangani jamani!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2006

    Samahani jamani niulize, hivi mtu mnaposema mtu amekwenda "Umangani" hivi Umangani ni wapi?
    Asanteni!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 21, 2006

    Umangani ni Uarabuni

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2006

    SASA DIOF AACHE KULEWA KULIKO KAZI;AKIMALIZA ANYWE MPAKA WAMPELEKE MOCHWALI KULAZWA!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2006

    Jessica Charles yuko ndani ya UK, London. Nadhani yule jamaa yake mzungu (Ian) aliamua kuanza naye mana'ke wabongo mlikuwa mnamkwibia!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...