nilipofika nyumbani nimekuta mafundi wakijenga upya choo/bafu. kwa hiyo wiki hii mambo yote kwa jirani. ikiendelea kunyesha huduma hiyo tutaiopata baada ya mwezi. yaani, we acha tu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2006

    POLE KAKA MICHUZI NA WATANZANIA WENZETU.DAWA NI KUPUNGUZA KULA!
    LAKINI HICHO CHOO ENEO LILIPIMWA AU UNAWATAFUTA UBAYA WENZAKO?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2006

    Michuzi nadhani hujarudi na yule binti wa Kibrasilia, maana hapo ungeumbuka sijui ungemwambiaje wakati ulishamdanganya unakaa uzunguni.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2006

    michuzi Bush alikunyema visa? Tulitegemea kukuona DC.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2006

    Michuzi aliyekupa wewe ndiye aliye wanyima hawa mabwana hapa
    (Wachimbao shimo). I know this is not your house Michuzi! So please acha mambo ya kizamani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2006

    http:/fazerecordsf2.blogspot.com

    ReplyDelete
  6. Hebu nipe contact za hawa mafundi maana na mimi huku karibia mambo yataharibika nilikuwa nasubiri mvua ziishe tu. ila kuna mtu kanidokeza eti kama kimejaa ninaweza kupata umeme fulani hivi na kupunguza gharama za LUKU kama kuna mtu anajua hii anisaidie jamani

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2006

    Usipate shida, kama kimejaa subiri mvua ikianza kunyesha halafu ukitapishe. Kama hujui kutapisha choo nitafute, I will charge you consultancy fee. Gharama zingine mnajitakia wenyewe

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2006

    lol rhxoqsa. unataka contact siyo!

    Du bila michuzi picha kama hizi walahi tusingezipata kabisa. Mungu akubariki sana, sidhani kama unajua huduma unayotoa. Tunaomba utupe mahesabu ya vibonyezo kwenye blogu yako, usiwe na wasiwasi competition ni 0.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 24, 2006

    Michuzi naomba picha ya choo kama kimekwisha,vinginevyo nakufungulia kesi;Unajisaidia wapi wewe na familia yako?Suala hili ni veri siriaz!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...