hii picha nimeipiga picha kwenye duka la vifaa vya michezo brasilia; nimeipenda sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2006

    Ni tangazo la +10!Lakini usanii wa hali ya juu umetumika hapo!Hivyo vichwa vimechomekwa!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2006

    Mpaka Franz Beckenbauer yupo, duh!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2006

    hawa jamaa wajinga kweli hawajui vitu vi zuri hadi tangazo liwavutie!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2006

    Wewe anony wa 10:12AM huna akili kabisa, kilichowavutia wenzio ni utaalamu uliotumika kutengeza hilo tangazo.uwe unafikiria kidogo sio kutapika tu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 24, 2006

    Kwani wewe huna utaalamu huo?Uongo ndio utaalamu?Basi hata matapeli wa Bongo ni bomba zaidi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...