Home
Unlabelled
kumbukumbu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MH!WEWE MWISHO!LAKINI KOBE ANATEMBEA NA NYUMBA YAKE!
ReplyDeleteNIMEGEE HABARI KIDOGO YA HIVYO VITABU!HASA UTENZI NA BIBLIA!
Michuzi,
ReplyDeletepicha kama hizi ndio zinanifanya niwe nasema kuwa blogu hii ni jumba la makumbusho ya taifa. Enzi zile za jumba la makumbusho lazima liundwe na serikali au lazima watu watafute fedha za wafadhili ili waanzishe zimepita na upepo. Kuna wakati ulituuliza picha gani tunataka utupatie...jibu: picha kama hizi. Safi sana.
Ukiweze kutupa uchambuzi kidogo juu ya vitu hivyo, kwa mfano, ule mkoba ni wa nini?
Michuzi,
ReplyDeleteAma kweli mwandishi wa habari mwandishi wa habari tu! hatoi habari yote kwa wakati mmoja, anatoa kidogo kidogo ili uwe unarudi kusoma kila wakati ili kuona kama kuna habari mpya. Michuzi ana vitu vingi vya Baba wa Taifa, sijui kwanini haviweki vitu hivi vyote sehemu moja ili tuwe tunavipata na kivisoma kwa urahisi.
Michuzi, Technolojia ni kwa ajili ya kurahisisha mambo sasa kama wewe unaitumia kututamanisha ulicho nacho kwa kutupa kiduchu kiduchu basi basi unatunyima poweful information.
Kazi nzuri lakini kwa kila ulifanyalo hapa
emergency poison andika address yako.kuna kitabu fulani cha nyerere nitakutumia.
ReplyDelete