miss tz 2001 alikuwa happiness magesse ambaye kama saida kessy, basila mwanukuzi na hoyce temu, alizawadiwa dari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2006

    Huyu hana kashfa kabisa za ngono au nani anabisha

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2006

    We anony mchokozi;unataka nini?Watu humu wanakosa cha kubisha?Au unataka dada wa watu aanzishiwe songombingo?Mie huko sipo,ila nampongeza MICHUZI,SASA AMEAMUA KUSUUZA ROHO ZA WAUMINI WA BLOGU!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2006

    Hivi michuzi enzi hizi haukuwa na camera ya rangi maana naona picha zote ni black and white

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2006

    Haya michuzi kibao kimekubadilikia wewe, black and white, vipi ndugu Michuzi akikupa address utamnunulia camera nyingine pengeni huwa anakodisha ya rangi....NATAMTANIA TU MICHUZI watu wacheke, biashara yake ni kubwa..kaka hongera!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2006

    Kama dada anasifa nzuri, tutaambiwa tu, tusubiri...wabongo tunajuana, kama sisi hatumjui lazima wapo tu watu wa karibu wanaojua CV yake.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2006

    Yaelekea ana sifa nzuri, mpaka sasa hatujasikia ki2 toka kwa wabongo!! huyu ni msafi

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2006

    Jamani hata mimi nahisi huyu hana tabia za kishenzi, tusubirini wabongo watueleze!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2006

    we michuzi dari ndio nini?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 01, 2006

    Mimi Namfagilia naona yule kaka aliyekuwa anatafuta contact zake aendelee tu maana naona hatapatwa na BPs na mised calls kutoka kwa dada huyu kama madada(mamis) wengine.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2006

    Halafu kila cku shingo yake inaongezeka urefu, au kuna dawa ya kuongeza urefu wa shingo?? Maanoni Nipeni jibu

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 01, 2006

    We anony 10.55Am inamaana unamaanisha atakuja kuwa twiga? Hila mimi nampendea hila shingo si mchezo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 01, 2006

    huyo dada nampata sana.Kwanza ameliwa sana bongo mpaka watu wakamkimbia akaamia kulea vivulana vidogo ikashindikana ikabidi akimbilie south africa baada ya kupata kashfa ya kaugonjwa.sa hivi anatuzuga top model south.Kiufupi ni Uozooooo.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 01, 2006

    Wewe annoyn 12.16pm unanikatisha tamaa maana nilikuwa nafuatilia data zake ili nifunge safari ya Turiani.Hapa Bongo hajagawa uroda ila ailfuatwa na watu kibao nikiwemo mimi ila hajatoa uroda sawa.Bado hajawa uozoooo,shamba bado bichi kabisa.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 01, 2006

    Anoni wa 12:47 cjakuelewa unaposema shamba bado "BICHI". Una maana ga??

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 01, 2006

    Maana yake hakuna aliye kata msitu bado miti imesimama kabisa unasikia??????????

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 01, 2006

    Ina maana hakuna anayeweza kusambaratisha huo mc2 na kufanya miti yote kulala???

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 01, 2006

    Ugumu hauko katika kusamabaratisha mc2 bali kuufikia huo mc2 na kujaribu kuusamabaratisha ndiko kugumu, na hapo ndipo unapokuja ukali wa nyuki utamu wa asali. Not easy to approach this lady for sexual matters, sitoshangaa yakitokea yale ya wimbo wa Queen wa Vijana Jazz, atakuja olewa na mtu wa kawaida sana.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 01, 2006

    Wewe annoy 2.06 pm unamjua sana huyu binti, hongera sana, na huyo mtu wa kawaida mwenyewe ndiye mimi,nakwambia najiita sasa mume mtarajiwa, naomba tuzidi kuwasiliana maana nataka uwe bestman wangu pamoja na shemeji siku ya siku, sawa wajina?

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 01, 2006

    Mimi namtakia kila la heri huyu anayetaka kuwa mtarajiwa nafikiri mpaka sasa hivi kama hakuna chochote nafikiri dada anastahiri pongezi na anafahaa sana kuwa mwakilishi wa vijana katika shuguli mbalimbali inatakiwa watu wawe wanaiga mfano wake siku moja nitamtafuta angalau nimpe zawadi tu ya heshima. Ni zawadi ya kumsifu.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 02, 2006

    Sasa ni official kwamba huyu hana kashfa kabisa za ngono.
    Hongera dada na mjadala huu umefungwa.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 03, 2006

    Sawa shemeji, naona umeiwakilisha familia kama msemaji wao, jamaa sasa ataingiza timu huko Bwagala kwa mzee Magesse, jiandaeni kumpokea maana kauli yako ni kauli ya familia.Wajina sasa kazi kwako shamba bado bichi ingiza timu, shemeji yako kakupa uhakika.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 03, 2006

    Ndugu michuzi hivi email ya temu tumeipata sasa hivi tunabwabwaja tu. Je na huyu dada wa kwa Mzee wa Heshima magesse tutaipataje?

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 04, 2006

    NAFUNGA SASA KWA HERUFI KUBWA MAANA NI WAZI HUYU HAPPINESS MAGESSE. NI WAZI HANA TABIA CHAFU, NI MSICHANA SAFI NA MWENYE TABIA NJEMA. MAANA MPAKA SASA HAMNA COMENTI YEYOTE MBAYA. NA KAMA UNAVYOJUA WA-BONGO HUWA HAWAMKOPESHI MTU. WANGEKUWA WAMESHAJITOKEZA KUMPAKA. HONGERA DADA-- NA INAONEKANA NI ANATOKA MKOA WA MARA HUYO. MUSOMA. MAANA HILO JINA LA MAGESE NI MUSOMA TU. HONGERA WAZAZI WA MUSOMA KWA KULEA WATOTO VIZURI.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 05, 2006

    Ukisema Musoma mara moja kesha KEKETWA, kapungua kama ni kweli.Sijui kama ni sifa nzuri sasa?

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 05, 2006

    Wewe anonymous wa 11:56 una maana gani kusema kama ni Musoma mara moja kesha KEKETWA???? Musoma ni mkoa wa TZ, na watanzania wako wengi bwana na makabila ni mengi mikoa mingi sanaaaaaaa. na wako wengine waliosifiwa kama Anjela Damas naye alikuwa miss ambaye anafagiliwa hapa kweli ana tabia njema, hatoki Musoma, haya pia Saida Kessy hana comenti yeyote chafu, lakini ni mwislamu hatoki Musoma, ni kwamba nimetamka hilo jina kama wazazi wake ni kutoka Musoma katika mkoa wa Mara. Wakina dada wenye tabia njema wako kila mkoa. Kama huelewi maana ya kuwa kwenye hii blog basi kaa pembeni. Usiudhi watu hapa kwa kuandika upuuzi. Jamani kabla hamjaingia humu kwenye blog muwe mumejitayarisha. Nomba radhi kama nimekushutumia sana hapa lakini kweli hiyo coment yako hapo haina maana. Au labda ulikuwa hujanielewa. Poa.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 05, 2006

    Balyagati,huyo jamaa ana maana kuwa wasichana wa mkoa wa Musoma halisi(wenye mkoa) karibu robo tatu ya makabila yao yanafanya TOHARA ya wasichana(wanawake) hivyo inawezekana(ingawa siamini)kama MREMBO ni mmoja kati ya makabila hayo, bai hilo MILA ama TAMADUNI , imempitia na kwake anaona KAPUNGUA.Mimi naona hamkuelewana na ndiyo maana umevimbishia mishipa ya shingo.Haya kaeni salama.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 05, 2006

    Kweli kabisa Balyagati hukumuelewa jamaa, pole nadhani wewe ndiye mtarajiwa, any way, jamaa haakuwa na nia ya kukukatisha tamaa, ila nadhani anaeleza yale yanayojili kwa aina nyangeta huko Musoma.Alafu nadhani si kupungua wala kuondoa sifa za mrembo huyo, after all sisi tunaangalia ya nje ya huko ndani hatujui na hatuhusudishi, funga buti MURAAAA, mwendo kwa mbele, KUKEKETWA si tatizo.Kisyeri

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 05, 2006

    Hivyo nyinyi mnaposoma hapo juu kati yangu na Balyagati mnatambua ni nani hakumuelewa mwenzake?mimi ndiye niliyeshutumiwa na Balyagati(shemeji) ninachoona yeye ndiye anastahili kushutumiwa kwa kuingia kichwa kichwa bila kuelewa maana ya mistari.Mimi sioni tatizo bwana shemeji,karibu sana hapa BUNDA nitakuelewesha vizuri nilikuwa na maana gani.Kwa taarifa yako TOHARA ya wasichana hapa Musoma ni kiboko, hivi ninavyooandika wasichana kiabao wanajiandaa kufanyiwa.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 06, 2006

    Haya basi wazalendo naomba radhi.....maana ni wazi sikuelewa. Lakini Muraaa TOHARA sio wote wanaofanyiwa, au siyo hasa hawa dada waliokulia mjini na wazazi wamesoma. Ila dada huyu ana sifa nzuri maana kama wote tunavyojua humu kwenye hii blogu wanaingia watu kutoka sehemu mbali mbali na wabongo hawamkopeshi mtu. Kama tulivyoona Shose Sinare alivyopakwa sana, kweli bwana uzuri si sura ila pia na tabia njema Shose Sinare anajifanya expensive kumbe cheap. na kweli amebainika, naona familia imeona aibu sana kiasi kwamba wameomba MICHUZI aondoe picha zake zote pamoja na maoni. lakini tuu leiti, maana walimwengu wameshapata data. Namwonea huruma sana sasa. Lakini ndio maisha mwache tu aendelee kutiwa na Peter Rupia sasa. Haya waungwana. Baadae basi. Poa.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 25, 2006

    watu wote wejipost as anonymous... inakuwaje we "Balyagati" ujitangaze hivyo? Au Balyagati Fake????? usichafue majina ya Ma Godfather bwana!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...