trafiki akilielekeza gari la naibu waziri wa wizara ya miundombinu dr milton makongoro kuvuka daraja huko wilayani mbinga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Nimeipenda picha hii. Ni bora Naibu Waziri aone jinsi wananchi wa kawaida wanavyoteseka katika miundombinu yake. Aanze kazi yake kwa kasi mpya.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2006

    Ahsante sana Michuzi, tuonyeshe sisi hali halisi tumechoka kusikia bongo kumekucha ambapo asilimia kubwa inatuambia habari za jiji la Dar -Es-Salaam tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2006

    Sasa hapa ndipo ninapoona TZtusivyojali wananchi waliopo vijijini na mikoani, haya kiko wapi mipesa mingi mnaipoteza kuwapa wabunge watanue wakati usafiri vijijini shida, YUKO WAPI MBUNGE WAO?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2006

    mamammaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hii kiboko haya ni mauaji tena ya kudhamiria.

    INATISHA KWA KWELI.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2006

    Sasa michuzi huyu trafiki suruali nyingine, koti jingime, na ndala!!!! sijarudi Tz mda mrefu lakini hii inatisha!!!!

    ReplyDelete
  6. Kama sikosei huku ndio wanazalisha sana chai ambayo inaingizia taifa pato kubwa sana, pamoja na wakulima kunyonywa kutokana na bei ndogo ya chai lakini bado hata danganya toto ya kuwajengea daraja ili wanyonywe vizuri nayo pia hamna ehh! mungu isaidie Tanzania

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2006

    Haya ndio baadhi ya maeneo mengi huko mikoani ambayo maghufuli hakuwai kuyashughulikia na sasa wamemuondoa kumpeleka kwenye uozo zaidi ardhi.Sijui hawa wapya wa nguvu mpya,ari mpya,kasi mpya haya watayaweza yetu macho na masikio majibu 2010!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2006

    aaahhh hii nchi maneno mengi sana, viongozi wetu ni wazuri kwa kulonga lakini utendaji wao bado ni mbovu sana halafu wanasingizia bajeti ndogo.....

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2006

    Wewe anony wa 4:24 PM, May 29. Hilo koti ni kwa ajili ya reflection cha kuuliza ni kwa nini kalivaa mchana!!! Unazijua kandambili wewe? huyo kavaa moka nyeusi zicheck vizuri. Fanya urudi home angalau kidogo

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 30, 2006

    Hili daraja hata kukatiza kwa miguu ni hatari, sasa kupitisha gari ni maafa kwa kweli.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 30, 2006

    Inasikitisha sana kwa kweli.Na bado tunataka tu kupewa misaada na wakati matunda ya misaada ni hadimu?cha kusikitisha zaidi magari ya serikali ni ya gharama ya ajabu hata nchi zilizoendelea hazina magari kwa kila mbunge na gharama ya juu kiasi hicho.Sio nasema magari yasinunuliwe hapana na kutokana na hali yenyewe za barabara kwa wabunge kutembelea majimbo yao,kweli wanahitaji magari yanayopita hizo barabara lakini basi tuone maendeleo...

    ReplyDelete
  12. dah jamani kapinga hapa...kijijini kwetu huko tangu nilipokuwa na miaka mitano kwenda kumtembelea bibi hadi leo daraja lipo hivyohivyo...sijui kama tutafika jamani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...