jacquiline kombe ni mmoja wa warithi wa amina chifupa kwenye utangazaji wa vipindi pale klaudz ef emu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2006

    Huyu dada naipenda sana sauti yake. Michuzi naomba picha ya Mama wa masanga sista vii

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2006

    ana sauti nzuri,lakini hilo domo,utazani anapuliza moto.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2006

    amtokea unyarugusuni huyu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2006

    Namfagilia sana ka sauti kake, japo kidogo niko nimefedheheka. Nilifikiri yuko zaidi ya hivi alivyo, asante kutusaidia kuwafahamu hawa ma supa staa wa Bongo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2006

    wote ambao mmemuona huyu dada halipi hebu mpeni michuzi picha zenu ziwekwe hapo(kwenye blogu) tuone kama "mtauzika". Acheni hizo wabongo, pyeeeee nyiingi. eeh! mtafuteni "fizikali mumuone na ndio m"koment"

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2006

    Asante sana abdiwamo kwa mchango wako kujaribu kuwapa hawa"dugu" matumizi mazuri ya mtandao huu ambao kwao matusi na kukosoana kusiko na msingi ndio wanayapa kipaumbele. keep it up brooo!!!
    Tuwe waastaarabu, tu"komenti" kitu katika misingi inayokubalika iwe ni hasi au chanya.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2006

    Michuzi naoma nijue MARITAL STATUS ya huyu dada mrembo na mwenye sauti nzuri sana. Naweza nikaamua kuchukua jumla jumla

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2006

    Jack Jackline Kombe... ana sauti nzuri huyo!!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2006

    Ukimuona huyu dada fizikali utazimika mwenyewe, akiwa amepiga mapigo yake, ana mguu umetulia wewe acha mchezo!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 18, 2006

    Wee Anony 8:31 PM toka lini mchaga akawa na mguu mzuri. Au unataka kuwasanifu wachaga jamani

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 19, 2006

    oyaaaaa! we An'8:31 acha maneno mbofumbofu dogo, wachaga siku hizi wamechangamka kwa kuchaguana ili wasiharibu maumbile ya vizazi vya watoto wao. Hiyo kesi imebaki kwa wambulu kama unawajua but kwa wachaga sio sana. Jaribu kufanya tathmini kabla ya"kuwahi" kuchangia

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 24, 2006

    Jakyuiline,sijakuona full,lakini kwa utaalamu wangu nilionao juu ya ugunduzi,una sifa nyingi ambazo ni nadr kwa wanawake wengi!MICHUZI, please!naomba picha full ya huyu dadie!
    Akae ubavu kidogo mgongo(bodi)ionekane,asivae suruali au nguo ndefu sana!Hiyo picha ntalipa mie!

    ReplyDelete
  13. eti kaka michuzi ni kweli huyu dada karibia anaoolewa na mchumba wake anaishi uingereza au ni porojo za wabongo tu!naomba jibu michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...