mwenyekiti wa mamlaka ya usfirishaji dar david mwaibula akiwa kazini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2006

    Nasikia huyu mzee ndio kiboko wa makonda na madreva wa dalala anawazidi hata matrafiki

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2006

    tanzania ili uongoze na ukubalike inabidi uwe kichaa kichaa hivi, ukienda na masuti yako utakimbia mwenyewe. Angalia walioongoza dar, kina ditopile, makamba.....watu wa mameno maneno mengi. Huyu mzee masikini imebidi ajichanganye na yeye.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2006

    Kweli huyo ni kiboko ya makonda na madereva daladala wanaojifanya machizi......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...