wannchi wakiangalia onesho la utamaduni bustani ya mnazi mmoja garden

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2006

    sasa huyu mwenzetu vipi????????????????????????

    ikimchoma hiyo ikazama huko sijui itakuwaje?????

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2006

    kwani wamasai nao wananchi? si wamasai tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2006

    bustani mbona haina majani ni vumbi tu

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 30, 2006

    mchana kutwa vijiweni tutafika kweli?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2006

    We annoy 1.11 am acha zako sisi wamasai ni wazalendo kuliko wewe mhamiaji, anagalia jinsi tunavyoendeleza mila mpaka tunakuwa sehemu ya kivutio cha utalii hapa nchini, hata pesa iliyokusomesha pale chuo ni sehemu ya mchango wetu kwea jamii.Mimi masai bwana!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2006

    makubwa. sasa huyo mmasai hiyo fimbo ikipitiliza kunako suez itakuwaje, maana hawa jamaa hawana utamaduni wa kuvaa ch****p, angalau ingekuwa kama kizuizi, halafu mwenyewe anaenjoi kabisa, mmh

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 30, 2006

    Kwisa muona masai shoga? tayari huyu mmasai analake swala huwezi kuweka fimbo mahali hapo....aaah! atakuwa anajibeep

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...