miss tz 1997 saida kessy akimpasia basilla mwanukuzi taji la 1998

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2006

    Basila ni mzuri sana na yupo natural sijui anaendeleaje na maisha huyo aliyekuwa binti.salamu zake pale alipo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2006

    kweli kabisa ni mzuri sio uwongo

    ReplyDelete
  3. kabisa basila bwana peke yake ni mzuri sana na anastahili sifa na hana maringo kabisa anampenda kila mtu huyo mtoto mzuri jamani mimi nimemuona kwa karibu pale diamond jubilee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...