kila wikiendi tunapata oda kama hii ya jumapili iliyopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2006

    Safi sana bro Michuzi.Tukirudi toka ughaibuni kama bei ni poa tutakupa tafu tukiwa na shughuli zetu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2006

    Michuzi , sasa studio yako ipo wapi?? tuambie basi...

    ReplyDelete
  3. studio ipo mayfair plaza old bagamoyo road, kuelekea msasani kwa mwalimu, mkabara na hospitali ya tmj. kwenye picha inaonekana kwa mbali mzee. karibuni sana, tena sana. bei karibu ya bure ukilinganisha huduma itolewayo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...