mtaa ulioanza kwa kuitwa acacia, kisha independence na sasa samora machel na ambao ndo mkubwa kuliko yote dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2006

    hayp majengo yana hali mbaya sana yafanyiwe ukarabati kidogo basi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2006

    thanks MR MICHUZI kwani huwa nafuatilia sana hii site,ni kuwa nafurahishwa sana humu unastahili kushkuriwa. keep it up tupo wengi tunachungulia nyumbani kujua ahsante ,Norway

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2006

    Ah! ni kweli mtaa mkubwa kuliko yote ndani ya jiji kwa sababu hata"Daili nyuzi" pia ofisi zao ziko hapo hapo, yaani bwan' Michuzi ndo mitaa yako ya kujidai saana

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2006

    Thanks MR MICHUZI kwani huwa nafuatilia sana hii site,ni kuwa nafurahishwa sana humu unastahili kushkuriwa. keep it up tupo wengi tunachungulia nyumbani kujua ahsante , Columbus, OH

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2006

    Bwana michuzi asante kwa picha kila siku tunazidi kuelimika. hata hivyo naomba kufahamishwa mtaa huu wa samora, ni Mkubwa kwa Urefu, Umaarufu au kiumri? samahani, kuuliza si ujinga!

    ReplyDelete
  6. Ungetuwekea na barabara ya uhuru labda tungepata ahueni maana waziri mkuu (Lowasa) leo jioni ametembelea kwa kushtukiza barabara ya Shekilango na ameziamuru mamlaka husika kuanza ukaarabati jumatatu

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2006

    khaaa haya majengo ya kale mno yabomolewe yote ijengwe upya,,uchafu mtupu huu, yaa hii nchi inachekesha kweli.
    mtaaautafikiri uchochoro wa kupereka watumwa pare US.
    angalia mitaa ya ulaya,acha bwana, hii kitu gani.
    ndio broadstreet au nini?
    haya magofu yamejengwa yote na wahindi, mafundi uchwara tu, miaka ya arobaini huko.
    sijui wakubwa wanasubiri mpaka yaanguke.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2006

    naona wanataka kila jengo tz liwe la makumbusho.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 11, 2006

    basi mtaa huo ukitembea watu kibao sijui wanatoka na kwenda wapi hawa watu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2006

    Naona nyie Anony hapo juu mnalinganisha mbingu na nchi, mtu hujikuna anapofikia jamani.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 12, 2006

    kweli kabisa wapige greda,wajenge majengo ya vioo ya kisasa,na maduka ya ngazi za umeme(ekseleta) hayo ndio tutasema maendeleo,magofu ya wahindi haya.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 12, 2006

    hayo majengo ya kisasa mbona yapo mengi tu hapo hapo mjini. Mimi nafikiri ni uamuzi tu ulifikiwa kuyaacha baadhi ya majengo, ni piece of historia. So long as ni pasafi na kuna majengo ya kisasa here and there hapo mtaani, inatosha. UK mbona majengo ya 47 yapo mengi tu au na wao hawana maendeleo?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 12, 2006

    By the way, kuna mtaa gani Dar uliopewa jina la mfanyabiashara wa kitz? Naomba kupata positive answer.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 12, 2006

    Mi nasema hivi kama kungekuwapo mashindano ya blogi basi bwana Michuzi angekuwa mshindi wa tunzo hiyo!!!!! Hakuna blogi kubwa na yenye umaarufu kama hii bwana. Wote wanapoteza muda Michuzi 1 wengine wanafuatia. Tunakuzimia michuzi.Cathy wa Birmingham. halo halo, halo*1000

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 12, 2006

    Cathy uko wapi wewe! Mbona bwana Ndesanjo alishajinyakulia siku nyingi.

    ReplyDelete
  16. asante cathy. lakini kama alivosema gawe hapo juu, sidhani kuna wa kumbiti ndesanjo, ambaye ndiye mbatizaji wangu. hata hivyo asante sana kwa kunitia moyo.

    stay tuned. leo naenda brazil. hivyo kaeni mkao wa kula

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 12, 2006

    Lete vitu Michuzi, S. America sio mchezo.....naomba ututumie picha moja tu ya "Brazilian Butt !" samahani kwa kutumia lugha hii. Asante!

    ReplyDelete
  18. Mh! Hapa kaka kidooooogo umenitupa kando! Mtaa mkubwa unamaanisha mrefu sana, mpana sana, umekwenda juu, una kifua kinene, una misuli mikubwa, una maghorofa mengi au una ofisi ya Daily News, niweke sawa kidogo kaka!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 12, 2006

    Tamba,ni mtaa mkubwa ulivyoelewa kwenye kichwa chako!akitafsilia kila mtu vidole si vitavimba?Hii ni blogu ya mapicha,macho yako hayaoni?Acha ghiliba.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 12, 2006

    Bwana Michuzi pole kwa kazi, sasa Brazili unakwqenda ki-Photo Point, Ki-dilinyuzi au kikazi? Hata hivyo safari njema kuvuka atlantic si mchezo! Mawimbi makubwa atiiiii!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 12, 2006

    Michuzi, nilisahau kukutakia safari njema. Usisahau kuchukua chakula cha njiani!

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 13, 2006

    Dear Michuzi, Hongera sana nimependa sana kazi yako.Israel Saria-www.tanzaniasports.com

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 13, 2006

    Anony 10:50 fafanua kidogo.. unaposema anaenda Brazil kikazi una maanisha nini? Yaani "kikazi" gani....??!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 14, 2006

    bwana michuzi, tunakukosa sana hapa tangu majuzi nafungua hapa hakuna jipya, lakini najua ni safari ndefu sana hadi brazil, tafadhali ndugu yangu usikose kutupatia picha za samba. mihangaiko mema huko kwa mshona viatu.. Lula Da Silva.

    ReplyDelete
  25. Anonymous inaelekea huijui Dar es Salaam. Nilimwambia Michuzi kwa utani kuhusu huo mtaa kwa sababu nilitaka kujua ni ukubwa gani anaosema yeye urefu, majengo au kitu gani, mwenyewe nadhani alielewa.

    ReplyDelete
  26. asanteni wote kwa kunitakia safari njema. ndo nimeingia brasilia, baada ya kutua kwa muda sao paulo, ambako nilikuta zogo kubwa la kijambazi. ilinikumbusha sana bongo. hasa pale eapoti tulipocheleweshwa kuunganishwa ndege ya ndani ya sao paulo-brasilia kwa masaa mawili bila kutngaziwa. eniwei, nimefika salama na nimefikia hoteli iitwayo bristol 04 bloco f brasilia - df (kama kuna mwana blogu hapa brasilia tuwasiliane). vile nimeingia usiku wa manane, masnepu baadae kidogo. hii naandika kiasi cha saa 2 unusu saa za hapa brasilia. dhumuni la safari ni kwamba tanzania na brazil zinatiliana mkataba wa ushirikiano, ikiwa ni pamoja na kufungua balozi (na kutugea kocha anaeeleweka; hahhahaaa!). hivyo vile rais ametingwa kaja mh. migiro kumwaga wino, tunaenda mpokea punde akitokea uholanzi na marekani. mengi baadae... ila nilibeba mbili tatu ambazo naona nivunjie ukimya wa masaa 48, au vipi - stei tyuunnnid..

    ps. asante wabongo wa oslo kwa mwaliko wenu. nimeuweka kipolo, iko siku ntazuka. nisalimeni wote.

    nawe saria nimekupata, nimekusoma hapo landani. mbona hunipongezi wka kunyakua fa? acha hizo bwana. yu neva woki aloni damu hapa, si unajua tena. alvin sumary upo hapo yukei??

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 16, 2006

    ukienda mbele ukakunja kulia unatokezea kwenye ofisi ya Alawi.

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 20, 2006

    Asante ka Kunisoma! Faza naona mambo yako ni supa ..kwa hiyo sasa umeacha kabisa kutuandikia habari za Volleyball sio!!!,Basi ukipita landan tutafutani faza!..wewe ikifka maeneo ya north utatupata karibu sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...