Home
Unlabelled
taa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi, hapo kuna ulaji gani? Mbona askari wanne wanasimamia ukarabati wa taa mmoja?
ReplyDeletehao trafik wote ni mafundi wazuri wa hizo taa tena ni wazuri kushinda hao wa wizara sasa wakiona fundi analipua inawauma ndio maana wamejazana hapo, michuzi pia aliwahi kuwafotoa hao trafik wakiwa wanakarabati hizo taa, halafu zikiharibika wanakosa ulaji maana muda wa kupiga bao magari hakuna wanakuwa busy kuyaongoza
ReplyDeleteLabda macho yangu, Rhxoqsa hizo siyo trafiki laitis bali ni striti laitis hata zikiharibika haziwezi kusababisha msongamano wa magari, hata kidogo
ReplyDeleteHapa ni polisi ya salenda briji.. na ndio maana polisi wapo wengi.. maana wazee saa yeyote wanapita
ReplyDeleteAnony 8:01 pole sana nitakutumia miwani au labda hujazoea hizi taa, inategemea uko wapi labda ughaibuni au hapa bongo kwenye miji kama mtwara,mbeya na kwingineko ambako hamna hizi, kuna jamaa kazaliwa na kakulia znz siku alipokuja bara akaenda stand ya mkoa (ubungo) eti kuangalia mabasi kumbe zenji basi kubwa ni coaster, alipokutana na marcopolo au zile double reduction za Buffalo wacha atoe macho
ReplyDelete