hii ni sehemu tu ya umati ulojitokeza kuulaki mwili huo. hapa nilikaa juu ya daraja la manzese na kulenga ubungo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi kiswahili cha "goose bumps" ni nini? Maanake mwili mzima unanisisimka!
    Ned

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2006

    Michuzi Hebu tuambie mwili wa nani. Unatufumba tuna muwashawasha wa kujua tafadhali

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2006

    Bw. Grill,
    Nadhani Kaka Michuzi anaongelea mwili wa Hayati Mwalimu J.K. Nyerere.
    Sidhani kama itatokea tena umati mkubwa wa watu kiasi hiki katika historia ya Tanzania atakapofariki kiongozi mwingine!
    Michuzi, nashukuru sana kwa picha hizi.
    JKN RIP!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...