miss tz 1999 hoyce temu akiwa na mshindi wa pili ayan hassan (pili toka kulia) na wa tatu hellen ongara (pili toka shoto)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2006

    MICHUZI
    Rudisha picha KUSAGA na MJ ndugu wacha kutubania mtu wangu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2006

    Remy Ongara mbaya kisura lakini anafyatua watoto bomba huyo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2006

    Michuzi huyo ni mtoto wa Remy Ongara au ni majina tu...

    ReplyDelete
  4. hellen ongara ni afisa mauzo kampuni ya simu vodacom, hana uhusiano na dokta remmy ongara. ni majina kufanana tu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2006

    mjomba una kiona mbalii!! yaani Asha Baraka, Sauda umeona wanakuwekea usiku tu, kitu chenyewe kiko nyuma, ha...ha.... haa!!! Michuzi usimfanyie hiyana mwenzio!

    ReplyDelete
  6. huyo hellen ongara hana uzuri wowote anatafuta nini jamani si ana bwana mmoja mwenye travel agent si ampe kazi tu na pia angepunguza kutoatoa manake nasikia anagawa kama pipi

    ReplyDelete
  7. hellen ni mtooto aliye tulia ninyi eti antoa hovyo na wenzake pale voda wanampakazia tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...