kempinski kilimanjaro hoteli kwa ndani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2006

    Hapo mahali nasikia rates zake ni moto wa kuotea mbali hata kwa wenye nazo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    hii hoteli ni bomba sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2006

    Hivi kwanini Tanzania inafanya mambo hivi siku hizi tangu Mwalimu Nyerere ametutoka. Viongozi waliokuwa wanaficha makucha kwa kumheshimu Mwalimu, wameonyesha makucha yao. Ona mpaka mabeberu wako tele Bongo, na inakuwaje wanaruhusiwa kuuza mali za Serikali? Maji yanamilikiwa na wageni, Tanesco pia, Simu pia, Kilimanjaro Hotel ilikuwa mali ya Serikali sasa sio tena, na mambo mengi tu, wanakuja kuwekeza na watu wao wananchi wenzetu hapatati ajira. KWELI TUTAKUJA KUTAWALIWA SIKU MOJA, MARK MY WORDS. NCHI YOTE ITAUZWA. Kweli inasikitisha ni mengi tu. hatuwezi kuandika yote kwenye bulogu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...