makami wa rais dr ali mohamed shein na waziri mkuu edward lowassa na waziri kiongozi wa znz shamsi vuai nahodha (pili kulia mbele) na naibu waziri kiongozi juma shamhuna (shoto mbele) na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais anayeshughulikia mambo ya muungano, dr hussein mwinyi (mbele kulia) wakiwa na wanachama wa kamati maalumu ya kushughulikia kero za muungano wa bara na visiwani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2006

    BINADAMU TUNA SIRI KUBWA NA MUUMBA ANAJUA YEYE ALITUUMBA VIPI.HAPA HAWA VIONGOZI KILA MTU ANA LAKE.KUNA ANAYEFUTATA MASLAHI BINAFSI NA WALE WANAOJALI WANANCHI WOTE...KUNA WASIOJUA HAPA WAMEFUATA NINI NA KUNA WALE WANAOFIKIRIA MILEAGE YA SURA ZAO TUU...ME...kaaazi kweli kweli..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2006

    ILA HUWENDA UFAHAMU WANGU NI MDOGO NI NINI MAANA NA UMIHIMU WA MUUNGANO?...MSINITUKANE KWANZA NA MIMI NI MTZ BARA...tena Mchaga wa HAI...Me

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2006

    Kama wewe ni mtu uliyesomea saikoloji ya binadamu ni rahisi kugundua walio makini na jambo au ambao wako kwa mzaha mzaha tu kwenye hiyo picha hapo juu.

    Na huyo Anyn wa hapo juu anayetaka kufahamu wa umuhimu wa muungano kwa lugha rahisi ni kwa nini nyuki na udogo wao wanaweza kujaza mzinga wa ujazo debe moja?

    Ukiwa mbinafsi sana utaona umuhimu wala huta nielewa wala kunikubalia. Maana nyuki wangekuwa wabinafsi kila mtu angejitafutia chake. Tatizo tumekuwa wabinafsi sana ndio maana hata kushirikiana hata na ndugu wa karibu inakuwa issue.

    Hata muungano usipokuwepo ni wazi hata Zanzibar haitakuwepo ila kutakuwepo na unguja na pemba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...