nani kasema theluji imeisha kileleni kilimanjaro?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2006

    Lakini jamani imepungua saaana.Hapo zamani ilikuwa ni kofia nyeupe kamna inavyoonekana kwenye picha na nembo mbalimbali.Tusipotunza mazingira baada ya miaka kumi kwenda mbele theluji itakuwa kumbukumbu.Hata haya matatizo ya ukame,umeme,maji yanaletwa na kutotunza mazingira{kukata miti hovyo,kuchoma mkaa}.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    kwa hiyo mr michuzi unataka kutuambia theluji kiasi kikubwa haijayeyuka? MNbona wataalamu wanasema miaka si mingi yote itakwisha?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2006

    Michuzi what do you want to prove here? Nadhani huwezi kubishana na sayansi na no research no right to speak. Hali inatisha mlima Kilimanjaro and by looking at it with a layman eye unaweza dhani mambo yako shwari, mambo si shwari. Ushauri unaweza ukatumia shule hiyo hiyo ya uandishi wa habari (picha) kufatilia kwa kwenda mbele (prospective study) au urudi nyumba kwa kulinganisha picha za miaka kadhaa (retrospectively) utapata jibu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 12, 2006

    Ni kweli imepungua sana kwa wenyeji wa Marangu,Machame wanaelewa vizuri ilikua kipindi cha mvua mlima wote mweupe dheluji tu mpaka wazungu kuupiga picha inakua kazi sababu utafikiri mawingu yamelundikana walikua wanasubiri jua la saa nne au jioni angalau miamba ionekane ili picha ijulishe ni Mlima imepungua saana.

    ReplyDelete
  5. Kwa mujibu wa manasayansi wanaofuatilia global warming wanasema mpaka 2015 theluji juu ya mlima Kilimanjaro itakuwa inaonekana wakati wa mvua tu, na baada ya miaka michache toka hiyo 2015 theluji itapotea kabisa na kubaki historia ya kweli

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2006

    Aah na wewe michuzi kipofu nini? wewe huoni kama theluji inakata roho hiyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...