huyu dada (jina na mahali alipo kapuni) kapotelewa na marafiki zake toka enzi za msingi, a na o levo hata chuo. kama mpo anaomba muwasiliane nae kupitia kwangu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2006

    Michuzi sema kama na wewe umeanza kazi ya kutangaza mahusiano au kuweka sehemu ya sisi kujitafutia. Huyu dem na mfahamu kwa sana alikuwa mlimani anaweza kunipata kupitia 0744 443311

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    Kujiuza sio lazima ukasimame Ohio

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2006

    Michuzi, nikipata picha nyingine ya huyu dada ambayo macho yake yemefumbuka zaidi, natakata tiketi narudi nyumbani mweeeee!

    ReplyDelete
  4. Haya michuzi tunajitokeza zaidi.Ina maana hata Boyfriend wake nae wamepoteana pia?
    Mimi napatikana ismaelmat@yahoo.com

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 13, 2006

    Sasa we nanilyuu mfano mimi nikijitokeza na ukakumbushia lile deni lako, si unakumbuka unanidai DALA lako nilikukopa ili nikale mihogo, au umeshanisamehe mpaka hapo najua ushanikumbuka mimi nani

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 13, 2006

    sawa basi inatosha wewe michu pix tuwekee picha ingine sasa

    ReplyDelete
  7. aissseee,I know the girl.Tulikuwa nae semina moja ya ps pale mlimani.asante

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...