Home
Unlabelled
madiba dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya ndio mambo! super michuzi. Tumechoshwa na ma miss
ReplyDeleteMie nilikua PAKISTAN CENTRAL PRISON, na waobo wengine kama hivi.Aaah! maisha bwana kasheshe.
ReplyDeleteUmenikumbusha wakati huo nilikua nasoma form two makurumla shule yetu hatukupewa ruhusa ya kwenda kumlaki mandela tulichukia sana wengine walitoroka na mvua kubwa ilinyesha siku hiyo usafiri jioni ulikua taabu sababu watu wengi walienda kumlaki kwa hiyo kurudi ikawa sheshe.
ReplyDeleteWakati huu nilikuwa sayari ya xsalundha, kipindi hicho kabla sijaja kwenye hii sayari yenu mnayoiita dunia sisi tulikuwa tunaijua kama laplquk kule kwetu nilifanya soo ndio nikakimbilia huku
ReplyDeleteNilikuwa bwenini tumeizunguka redio ya mkulima ikitupatia habari.
ReplyDelete