Home
Unlabelled
mavazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mtu kujipenda bwana. Hasa nyakati za mitoko mtu unatakiwa utoke bomba kama mfuko uko safi. Wamependeza I support.
ReplyDeleteIla kwa ushari tu sio kwa hawa tu ila kwetu sote, ukiwa smart hivi usikute ndugu/wadogo zako wanaokutegemea au wazazi wanavaa za kuokota okota dampo au za kuchakaa, unatakiwa ujali ndugu pia.
Soryy for dissapointing others but this is the fact for developing countries like Tz, others need your support!!
Inaonekana walikuwa kwenye harusi hawa. Michuzi tuletee na picha ya harusi husika!
ReplyDeleteMichuzi hawa ni wanakamati wa harusi ya nani? au ndio ya Bi rupia? Tafadhali tunaomba picha za harusi ya Bi Rupia kama ulivyotuahidi.
ReplyDeleteItakuwa machi beta tukipata picha za tukio lenyewe.
ReplyDeleteHiyo picha ni said janguo,asha baraka na haji janguo. Asha ni mama yao mdogo hiyo hilikuwa kwenye harusi ya idd.
ReplyDeletePumbafu sana, vaeni mavazi ya kiafrika, hamuoni mzee Olusegun Obasanjo, au King Mswati wanavyopendeza? Kujikataa na kujipendekeza hakutokufanya upendwe wala ukubalike
ReplyDeleteIna maana wazungu wasingekuja Africa mpaka leo tunekuwa tunavaa vibwaya na visambi vilivyoshonwa aidha kwa magome ya miti au ngozi za wanyama, hah hah hah michuzi ungefanya kazi gani maana tusingekuwa na camera,ingebidi uwe mchoraji ili uchore mapangoni
ReplyDeleteMichuzi huyu sio Said Janguo huyu.....sasa hizi suit au kanzu, naombeni ushauri.
ReplyDeleteKwa suti hizo Mmh bado tuko nyuma
ReplyDeleteNasikia Haji alifirwa sana alipokuwa kule jela mtoni je ni kweli?
ReplyDeleteSikuhizi Bongo mambo tako tu....si dada si kaka, tunamalizana tu....sodoma na ghomora hiyo...tutalia na kuzikana, maana tukiambiwa fulani usichovye hatuamnini, usimpe bwana yule hatuamni...basi tupimane kwa macho hivyo hivyo, ajali kazini...madai yao hata malaria inauwa! Jamani wabongo wanapenda vifo, kwa tamaa za kijinga kabisa!
ReplyDeleteNyie wa2 nyie! loooh! kwani tako lina utamu gani?
ReplyDeleteMAVAZI SI MAENDELEO MICHUZI! NCHI YAHITAJI KUJITOSHEREZA NA VITU MUHIMU KAMA UMEME, CHAKULA, MAJI SAFI, MABARABARA, USAFIRI WA ANGA WAKUTEGEMEWA,SHULE NZURI ZA MSINGI NA ZA SEKONDARI, VYUO VINAVYOTOA ELIMU YA UFUNDI, SAYANSI NA TEKNOLOJIA.
ReplyDeleteFAMILY YA JANGUO HAIWAKILISHI EVEN 5% YA FAMILY ZOTE TANZANIA...
...anony wa saa nane kasoro dakika nane...Huyo ni Asha Baraka kweli???michuzi hebu toa ufafanuzi...
ReplyDeleteJamani wabongo mbona mnakili zisizoendelea sio ustarabu kukshifiana na matusi kama unaroho ya kwanini niwewe hawa wamependeza bwana mijitu kama nyinyi huwa hamfanikiwi
ReplyDeleteJe, hiyo saa yako hapo juu kushoto kabisa inasomeka kimombo au kiswahili?
ReplyDelete