miss kilimanjaro 2006 angela mwiki baada ya kutawazwa ijumaaa ilopita mjini moshi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2006

    Hongera sana, Kazuri, anastahili ila sasa tatizo miss tz lazima atoke bongo tu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2006

    sio lazima hayo unayosema uongo na wewe wangapi wametoka mikoani

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2006

    MICHUZI
    HATUWEZI KUSOMA WALA KU-POST COMMENTS KWENYE ILE ARTICLE YA KING ENOCH,, TAFAZALI FANYA UKARABATI YAKHE!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2006

    Michuzi,
    Weka picha zingine bwana,hizi za urembo zinaboa baba.Weka picha kama za hao mastaa wabongo ili watu wenye uchu wa kukemea tabia mbovu wafanye hivyo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2006

    Michuzi why are you so caught up with this nosense of Mashindano ya Urembo? WE MAY AS WELLCALL YOUR BLOG MISS TANZANIA! You know better than that man! Let's see photo posting that carry more weight on this blog. Who cares about Miss Kilwa? Miss Urambo?, or Miss Mwanza? when we can't even maintain our school,build roads, hospitals, or even fight Malaria?
    Don't be afraid Michuzi We have bigger issues to debate here. Lets see meaningful photos please.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2006

    Michuzi namuunga mkono mwandishi wa hapo juu. Leta picha za maana humu zaidi ya hizi za mashindano ya ma-Miss Tanzania. Tusiwe maskini wa mawazo hapa, lete picha zitakazotupanua mawazo yetu Michuzi! Nina hakika tuna uwezo wa kujadili mambo ya muhimu ya janayoikabili nchi yetu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2006

    wewe anony wa hapo juu naona hata uvivu kusoma wa saa ngapi mbona unamjia juu hivyo michuzi? ungekuwa wa maana kama hayo ya maana unayoyataka usingebother hata kuingia na ku-comment hapa ungetafuta web zenye akili uka argue huko mbona zipo?? zinazoelezea uchumi na siasa ya nchi yetu? ......mashindano ya urembo ndio yanaendelea sasa bongo si kwamba nayafagilia, lakini bwana michuzi kafungua blog yake mbona mwataka kumpangia ya kufanyaa heeee ebuu usituchoshe sie.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 06, 2006

    nakuunga mkono Wangu wa 10:50, huyo jamaa mdingi wake cjui mwana siasa??!! wa2 2naangalia ki2 kilicho hewani kwa sasa kinachovutia watu hapa Bongo.kama unaboreka na Michuzi bac tafuta web za siasa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 06, 2006

    Lete picha za michanganyiko,siasa, mazingira, maendeleo vijijini na mijini, viwandani, madampo, masoko, michezo, wanyama, mashamba,siasa, madisko, mashuleni vyuo, mbuga za wanyama, wizara, migodi, beaches,residential areas n.k.

    Haya ma miss miss kila wakati yana chosha na hatuwezi kutoa maoni ya kujenga au kubadili hali yetu halisi ya huko Tz. Au haya toi picha halisi ya nini kiko au kina hitajika huko kwetu. Haya ma miss miss hayatufikishi popote it's too personal and artificial. Natural beauty has been eroded in most of those so called miss wherever.

    Najua Mr. Michuzi kuna watu wanakusukuma au kukuomba uweke hizi picha za wanawake wanawake maana mawazo yao yote ni wanawake, nasio mambo mengine. Wanawake so what, mbona wao picha za wanaume hawa ombi wawekewe?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 06, 2006

    HUYU JAMAAA HAPA JUU SIJAMUELEWA VYEMA HEBU NISAIDIENI....SIJUI HAJUI AU HAWAZII?....ME

    Amesema hiviii.....!

    Lete picha za michanganyiko,siasa, mazingira, maendeleo vijijini na mijini, viwandani, madampo, masoko, michezo, wanyama, mashamba,siasa, madisko, mashuleni vyuo, mbuga za wanyama, wizara, migodi, beaches,residential areas n.k

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 06, 2006

    Hata mi jamaa cjaelewa ana maana ga??? maana picha zote hizo huwa zinawekwa sasa yeye anatakaza aina ga??

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 06, 2006

    Huyu akija Dar lazima awe chakula ya wajanja, kina kinje, Ruge, Rupia na wengineo halafu nasikia kule White Sands kina Lundenga nao inakuwa shughuli mpaka nao waonje ndio anajulikana miss nani, yaani binti bila kutoa mpanyelo inakuwa hola kwenye ushindi

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 06, 2006

    ukiona wewe kila unapofungua blog ya issa unawakuta mamiss kesho hulazimishwi kurudi kama sijasahau juu issa kaelekeza blog zingine nadhani utakuta yale unayopenda kuona na kusikia usiwe kero kwa wapenda urembo.Issa fanya kitu ile roho inapenda hizo kelele za vyura majini tu binadamu lipi jema anzisha blog yako kwakweli unakera ungejua usinge rudi tena kesho.nonsense.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 06, 2006

    Michuzi we weka picha unazoona zinafaa, huwezi kumfurahisha kila mtu.

    Mimi napenda picha za Mamiss, pia ni sehemu ya kukumbuka nyumbani, ila comment ndio zinakera. Watu utafikiri mashambenga, kila Miss lazima wamtafute makosa utafikiri polisi!

    Lakini napenda sana zile picha za mitaani, kuona sehemu mbali mbali za nchi yetu hasa zile zenye mabadiliko au ambazo ni maarufu na kuwaona wananchi wa kawaida wakijichanganya katika shughuli zao za kila siku.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 06, 2006

    Aaaaaaa wajameni, acheni kumshambulia michuzi. Kama isingekuwa michuzi habari nyingi tusingezipata, hasa zaidi tumefurahishwa saaaana alipotoa picha za SHOSE SINARE kwenye hizi hizi za warembo mamiss. MAANA HAKUNA ATAKAYETAKA KUOA AU KUONEKANA NA SHOSE MAANA HANA SIFA NZURI, MAANA BWANA WANAUME WOTE WATATOMBA SAAAAAANA LAKINI UKITAKA KUOA AU KUWA NA STEADY GIRLFRIEND, HUTAKI KUTOKA NA GIRLFRIEND AU PARTNER WAKO HALAFU KUNA WANAUME WACHACHE AMBAO WATAPOINT OUT KUWA AAAAH HATA SISI TUMEKULA HAPO. UNATAKIWA UONEKANE NA KIMWANA AMBAYE HAKUNA WATU WENGI WANAOMFAHAMU NA HATA KAMA WANAMFAHAMU HAWAJAMLA, HAPO NDO WATU WANAKU-ADMIRE UKIWA NA KIMWANA WA NAMNA HIYO. Kwahiyo bwana mimi namfurahia saaaaana Bwana MICHUZI kwa jarida hili. Maana watu hawawezi kujifanya tena humu ndani bwana WANABAINIKA KISAWASAWA. Ahsante bwana Michuzi ubarikiwe.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 19, 2006

    Hi Michuzi

    arent we six degrees apart, i just saw this pix and i went oh my god!
    I created that outfit for rachel temu , hoyce temu sisters those days i think 2002 ama 2003 when she was competiting in Miss arusha. since the time i delivered that outfit , i never saw that pix until leo.
    what a small world.
    Fashion is Forever

    thanx for rekindling memories,
    with best regards
    Mustafa Hassanali
    You doing a great Job

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...