
nancy sumary ndo aliyeshinda mwaka jana na mwezi agosti mwaka huu atakabidhi taji kwa miss tz 2006. asanteni kwa kufuatilia historia ya ulimbwende ya bara na visiwani toka 1967.
vile vile naomba kuwaeleza wale wote wanaofanya kampeni ya kunikatisha tamaa nisiendeshe blogu hii kwa kujaza matusi na maneno ya kashfa, bila shaka, kwa nia ya kunikatisha tamaa; mie ni tofauti. yaani mkubwa hatishiwi nyau...
Michuzi hayo kwenye jamii hayakosekani pole sana wamepiga maeneo yako nyeti. Ndio binadamu hao kaka.
ReplyDeletePole sana michuzi unajua hawa wenye mitusi wengi wao wanafrustration za maisha sasa wanahamishia hasira zao humu, nimegundua wengi wao wako nje ya nchi na walienda huko wakifikiri kwamba ndio wata win maisha lakini wameishia kuwa vibarua wa kubeba mabox, kufagia barabara, kuzoa takataka, kuosha vyombo kwenye migahawa nk yaani nisawa na mmachinga anavyoacha mashamba kwao na kuja Dar, anaishia kutembeza bidhaa juani
ReplyDelete