hapa ni nice, ufaransa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 12, 2006

    Huyu sasa ni nani aliyepozi kwenye car park??? Mmmmm?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2006

    Ulifanikiwa kupanda ule mlima watalii wanaupenda sana kisha una view nice kwa chini? Kam una picha zake bandika tuji kumbushe, tumetesa sana kule Nice ville, monaco montecarlo na maeneo kadhaa umenikumbusha mbali mzee michuzi. Ila ugonvi wa nice ni bei ya msosi ndugu yangu maana kuna siku niliagiza chai nikaletewa na kibirika kidogo, tena ya rangi basi bill ilivyokuja nikaftyatuliwa kama 20,000 ya tz, nilikoma, nikawa natwanga wine na henken maana kule bei ni ya magadi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...