Home
Unlabelled
sabasaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli mko GADO. KEEP IT UP!!!
ReplyDeletemichuzi umemtoa wapi huyu mtu aisee jamaa mc bomba sana aliwahi kuwapo mg kwenye harusi moja(ilifana sababu yake)na nyingine kama mbili zaidi pale mg, nampongeza sana ongeza juhudi bwana henjewele au ameacha u-mc maana nazungumzia miaka ya 1998-99,jamaa alikuwa na suti yake moja kama sikosei ya black and white/brown (draft) lazima aivae!!!
ReplyDeletehongera michuzi
ReplyDeletemc poa sana huyu nilishamwona mg kama mara tatu hivi si mchezo!!!! michuzi mpe hongera zangu
ReplyDeleteWewe unafikiri mg ni international?nadhani wewe ni mtu yule wa kasoro bahari ambaye unafikiri ukiandika mg watagundua ni wapi wale walioko hapo sasa wengine tupo nje ya MG tafadhali acha vifupisho vya aina hii ambavyo ni local sawa mjomba?
ReplyDelete